BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Mdogo wa Jokate niliyosoma nae ambaye nipo nae sawa kiumri yeye anamiaka 30, lakini dada mtu ana miaka chini ya 30.
Hakika haya ni maajabu
Hakika haya ni maajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mapacha labda.... afu Jokate atakuwa mkubwa (Kulwa).Mdogo wa Jokate niliyosoma nae ambaye nipo nae sawa kiumri yeye anamiaka 30, lakini dada mtu ana miaka chini ya 30.
Hakika haya ni maajabu
Ya Korea kaskazini labda.Wema Sepetu alikuwa na miaka 26 tangu 2008 mpaka leo...sijui wanatumia calenda ya wapi..
Wanawake wakifikia umri wa miaka 25 basi umri huganda hapo.Mdogo wa Jokate niliyosoma nae ambaye nipo nae sawa kiumri yeye anamiaka 30, lakini dada mtu ana miaka chini ya 30.
Hakika haya ni maajabu
Wema Sepetu alikuwa na miaka 26 tangu 2008 mpaka leo...sijui wanatumia calenda ya wapi..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake wakifikia umri wa miaka 25 basi umri huganda hapo.
Hupaswi kumuuliza tena umri wake mpaka atakapo jukuu.
Nafikiri yeye ni wa mwisho kwenye familia yao hana ndugu mwingineMdogo wa Jokate niliyosoma nae ambaye nipo nae sawa kiumri yeye anamiaka 30, lakini dada mtu ana miaka chini ya 30.
Hakika haya ni maajabu
Sasa mbona wanamnanga Zari eti mzee kumbe ni age mate hahahhhh vihoja haviishi!Wema Sepetu alikuwa na miaka 26 tangu 2008 mpaka leo...sijui wanatumia calenda ya wapi..
Dah.... We vipi bana? Kwanza Unajua anatumia kalenda ipi? Halafu mara nyingi umri wa madem wengi hukwama kwenye 26yrs..... wachache sana ndiyo hufanikiwa kuvuka upesi hapo.... [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji87]Mdogo wa Jokate niliyosoma nae ambaye nipo nae sawa kiumri yeye anamiaka 30, lakini dada mtu ana miaka chini ya 30.
Hakika haya ni maajabu
Wema alichukua taji na miaka chini ya 20 mwaka 2006. Hiyo akseleresheni umeitoa wapi... Hamsikii raha bila kumtaja Madame kwenye upuuzi wenu eh?Wema Sepetu alikuwa na miaka 26 tangu 2008 mpaka leo...sijui wanatumia calenda ya wapi..
Rahisi sana kuponda wenzenu huku mmejificha nyuma ya avatar. I bet umekomaa sura kuliko Madame Wema, bisha...Ha ha a a mtu sura imemkomaa lakini anakwambia anamiaka 26