Kwani huoni kama wee sepetu amestuck yaani haendi mbele Wala harudi nyumaWema Sepetu alikuwa na miaka 26 tangu 2008 mpaka leo...sijui wanatumia calenda ya wapi..
Joketi tumemaliza naye mlimani 2010 akisomea sociology.tena yeye alitangulia kumaliza six 2006.akadelay chuo mwaka mmoja.so kimahesabu rahisi tu ni above 32[/QUNk
Nakumbuka Jokate alimaliza Form four 2002 pale St Antony, so ina maaana form six alimaliza 2005
Le bembezMbona lemutuz ana miaka 28 kasoro
Hhahaaaaa! et amestuck. maana yake umri hausongiKwani huoni kama wee sepetu amestuck yaani haendi mbele Wala harudi nyuma
hivi zile hips zinazotaka kudondoka ni za kwakeKwani huoni kama wee sepetu amestuck yaani haendi mbele Wala harudi nyuma
Mada ya Joketi, imejaa habari ya Wema. Hembu tuache basi...
Samehe ila Joketi Born: March 20, 1987 (age 30), Washington, D.C., United States
Joketi tumemaliza naye mlimani 2010 akisomea sociology.tena yeye alitangulia kumaliza six 2006.akadelay chuo mwaka mmoja.so kimahesabu rahisi tu ni above 32
Nina mshikaji wangu alisoma nae st. Antony mbagala 2004 inawezekana kadanganya kweli
If you want to annoy a woman ask her age!Wanawake wakifikia umri wa miaka 25 basi umri huganda hapo.
Hupaswi kumuuliza tena umri wake mpaka atakapo jukuu.
Huyo ni zaidi ya 32[emoji3][emoji3]shish anayo 29. [emoji2]