MAAJABU!!! Mdogo wa kiume wa Jokate ana miaka 30 lakini Jokate anamiaka chini ya 30 hahaha

MAAJABU!!! Mdogo wa kiume wa Jokate ana miaka 30 lakini Jokate anamiaka chini ya 30 hahaha

Joketi tumemaliza naye mlimani 2010 akisomea sociology.tena yeye alitangulia kumaliza six 2006.akadelay chuo mwaka mmoja.so kimahesabu rahisi tu ni above 32[/QUNk
Nakumbuka Jokate alimaliza Form four 2002 pale St Antony, so ina maaana form six alimaliza 2005
 
Jokate ni mhenga sema bado ana umbo na sura ya kitoto! Ila Wema anaonekana kabisa umri umeanza kumtupa mkono
 
We ina kuhusu nn yeye kuwa na umri mkubwa au mdogo, watanzania mjifunze kumind your own businesses.......
 
Mada ya Joketi, imejaa habari ya Wema. Hembu tuache basi...

Naomba kujuzwa kwa upole kabisa, bila povu. Hizi team huwa zinawafaidisha nini? Utasikia huyu yuko team kivuli, yule team utusitusi. Akitajwa tu bwana kivuli, huyu anapanick na kuanza kumwaga mapovu. Akitajwa utusitusi, yule naye anapagawa na mapepo kabisa na kuwa nabii.
Kuna faida gani mnayopata kwenye hizo team? Huenda nakosa fursa, naomba kujuzwa!!!.
 
Samehe ila Joketi Born: March 20, 1987 (age 30), Washington, D.C., United States

Joketi tumemaliza naye mlimani 2010 akisomea sociology.tena yeye alitangulia kumaliza six 2006.akadelay chuo mwaka mmoja.so kimahesabu rahisi tu ni above 32

Nina mshikaji wangu alisoma nae st. Antony mbagala 2004 inawezekana kadanganya kweli

Hapa ndo ninapochanganyikiwa. Mara ana miaka 30, mara 32, mara 34, shida tupu. Mbona wengine wana 40 na hawakatai? Na bado wako fresh tu kama 19 vile.
 
Wasanii wa bongo naamini wote ni bongo movie
[emoji13]
[emoji13]
[emoji13]
[emoji23]
[emoji23]
[emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 

Attachments

Kwani hawa dada zetu wakisema wana over 30 itakuwaje?kazi kupunguza umri tu kila siku...
 
Back
Top Bottom