Maajabu na kweli: Walimu wa English Course wanaendesha magari ila walimu wa Mathe hawana hata baiskeli

Maajabu na kweli: Walimu wa English Course wanaendesha magari ila walimu wa Mathe hawana hata baiskeli

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,821
Reaction score
3,980
Miaka ya elfu 2 kumi kulikuwaga na mzee mmoja mtaani kwetu nyumbani kwake alikuwa ana banda ameajiri vijana wanafundisha English kwa watu mbalimbali na matangazo yake y alikuwa ya kubandika kwenye nguzo alikuwa ana tuma watu wake wanabandika nadhani wilaya yote ya Kinondoni plus Ubungo..

Mzee alikuwa anashinda bar analewa na kisukari chake. Binafsi nilikuwa siamini kama mzee Yule alikuwa anapata hela kwa kufundisha English tu niliamini hiyo ilikuwa kama mwamvuli wa kuficha alicho kuwa anakifanya nyuma ya pazia..

Mtu mwingine nilie kuwa namuhisi anatuzuga ni Ras Simba. I was like how comes jamaa anamiliki maghorofa kwa kufundisha English tu?

But this week nimefunguliwa macho. Kuna vijamaa vinafundisha English Course kitaani na vinapiga hela vibaya sana.. Kumbe wa Tanzania wapo desperate na English kiasi hiki?

Of course Tuition zimekufa Ila hii ya English naona bado ipo sana. Kama unaweza English jikite kwenye kufundisha tuition ya English unaweza kupiga hela kwa sababu wa Tanzania wapo so much desperate with English.

Wengine wanalipa hadi mamilioni shule za Ems kwa sababu tu ya English.

Wa Tanzania a lie turoga kwenye English alituweza
 
Aisee
Ajabu sana
Mimi niliiona hii miaka ya 90,
Mwalimu wa siasa au kiswahili walikuwa wana aidha gari au pikipiki
Ila walimu wa Sayansi na Hesabu wote tulikuwa tunagombania daladala.....
 
Acha ufala kulinganisha mathematics na lugha ya kiingereza.....masomo ya sayansi yana hela nyingi sana ukiwa mtaalamu wa kumwaga nyanga.

Serious mtu unaenda tuition za uswahili kufundishwa english kozi acha wapigwe.
 
Hivi ulikuwa unaona nyomi la pindi la Maths hapo Mchikichini?

Nadhani suala la kununua gari Kwa hao Walimu ni Utashi wao binafsi ila kama hela, wanapata sana tu kupitia Tuition zao
Ilikuwa zamani siku hizi elimu ya seco imeshuka thamani Ila English kama English inaonekana thamani Yake bado ipo juu
 
Acha ufala kulinganisha mathematics na lugha ya kiingereza.....masomo ya sayansi yana hela nyingi sana ukiwa mtaalamu wa kumwaga nyanga.

Serious mtu unaenda tuition za uswahili kufundishwa english kozi acha wapigwe.
Ilikuwa zamani mkuu. Amini kwamba mtaani mwalimu wa English anapiga hela kushinda mwalimu wa sayansi
 
Acha ufala kulinganisha mathematics na lugha ya kiingereza.....masomo ya sayansi yana hela nyingi sana ukiwa mtaalamu wa kumwaga nyanga.

Serious mtu unaenda tuition za uswahili kufundishwa english kozi acha wapigwe.
Ilikuwa zamani mkuu
 
Hivi ulikuwa unaona nyomi la pindi la Maths hapo Mchikichini?

Nadhani suala la kununua gari Kwa hao Walimu ni Utashi wao binafsi ila kama hela, wanapata sana tu kupitia Tuition zao
Nimefundisha sana physics mchikichin nw npo hohehae saiz wanafunzi n ma engener saiz mwalimu nguo zmepauka mpaka kiatu kimeisha sor
 
Prefesa wa chuo ankimbizana na mwendokasi kimara, chawa anatembelea ndinga Kali, na mansion la kwenda


Fullstop, kwishaaa
 
Nimefundisha sana physics mchikichin nw npo hohehae saiz wanafunzi n ma engener saiz mwalimu nguo zmepauka mpaka kiatu kimeisha sor
Pole Mkuu, hukuwa unapata fedha ama hukuwa na nidhamu tu ya uwekezaji wa Pesa zako?
 
Back
Top Bottom