Miaka ya elfu 2 kumi kulikuwaga na mzee mmoja mtaani kwetu nyumbani kwake alikuwa ana banda ameajiri vijana wanafundisha English kwa watu mbalimbali na matangazo yake y alikuwa ya kubandika kwenye nguzo alikuwa ana tuma watu wake wanabandika nadhani wilaya yote ya Kinondoni plus Ubungo..
Mzee alikuwa anashinda bar analewa na kisukari chake. Binafsi nilikuwa siamini kama mzee Yule alikuwa anapata hela kwa kufundisha English tu niliamini hiyo ilikuwa kama mwamvuli wa kuficha alicho kuwa anakifanya nyuma ya pazia..
Mtu mwingine nilie kuwa namuhisi anatuzuga ni Ras Simba. I was like how comes jamaa anamiliki maghorofa kwa kufundisha English tu?
But this week nimefunguliwa macho. Kuna vijamaa vinafundisha English Course kitaani na vinapiga hela vibaya sana.. Kumbe wa Tanzania wapo desperate na English kiasi hiki?
Of course Tuition zimekufa Ila hii ya English naona bado ipo sana. Kama unaweza English jikite kwenye kufundisha tuition ya English unaweza kupiga hela kwa sababu wa Tanzania wapo so much desperate with English.
Wengine wanalipa hadi mamilioni shule za Ems kwa sababu tu ya English.
Wa Tanzania a lie turoga kwenye English alituweza