Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
Sio Ras Simba tu mkuu hata wengine nao wanapiga hela. Kuna Dogo mmoja kitaani ana watu kama Mia 2 anawapiga mapindi ya English. Kwa mwezi wanamlipa elfu 40.. Anawafundisha jioni..Labda Ras Simba.
Ilikuwa zamani siku hizi elimu ya seco imeshuka thamani Ila English kama English inaonekana thamani Yake bado ipo juuHivi ulikuwa unaona nyomi la pindi la Maths hapo Mchikichini?
Nadhani suala la kununua gari Kwa hao Walimu ni Utashi wao binafsi ila kama hela, wanapata sana tu kupitia Tuition zao
Ilikuwa zamani mkuu. Amini kwamba mtaani mwalimu wa English anapiga hela kushinda mwalimu wa sayansiAcha ufala kulinganisha mathematics na lugha ya kiingereza.....masomo ya sayansi yana hela nyingi sana ukiwa mtaalamu wa kumwaga nyanga.
Serious mtu unaenda tuition za uswahili kufundishwa english kozi acha wapigwe.
Ilikuwa zamani mkuuAcha ufala kulinganisha mathematics na lugha ya kiingereza.....masomo ya sayansi yana hela nyingi sana ukiwa mtaalamu wa kumwaga nyanga.
Serious mtu unaenda tuition za uswahili kufundishwa english kozi acha wapigwe.
Duh very trueM -Mental
A - Attack
T - To
H - Healthy
S - Students
Nimefundisha sana physics mchikichin nw npo hohehae saiz wanafunzi n ma engener saiz mwalimu nguo zmepauka mpaka kiatu kimeisha sorHivi ulikuwa unaona nyomi la pindi la Maths hapo Mchikichini?
Nadhani suala la kununua gari Kwa hao Walimu ni Utashi wao binafsi ila kama hela, wanapata sana tu kupitia Tuition zao
Nope nadhani shida ni EnglishMuonekano muonekano Mkuu
Okay, labda kwakuwa Elimu ya wakati huu ni spoon feedingIlikuwa zamani siku hizi elimu ya seco imeshuka thamani Ila English kama English inaonekana thamani Yake bado ipo juu
Pole Mkuu, hukuwa unapata fedha ama hukuwa na nidhamu tu ya uwekezaji wa Pesa zako?Nimefundisha sana physics mchikichin nw npo hohehae saiz wanafunzi n ma engener saiz mwalimu nguo zmepauka mpaka kiatu kimeisha sor
Walishtuka hizo hesabu hazibadiliki kuwa helaIlikuwa zamani siku hizi elimu ya seco imeshuka thamani Ila English kama English inaonekana thamani Yake bado ipo juu
FactsOkay, labda kwakuwa Elimu ya wakati huu ni spoon feeding
Sio kama miaka ile
Duh bitter truthWalishtuka hizo hesabu hazibadiliki kuwa hela
Wakati ung'eng'e wa tour guide unajenga nyumba na kupeleka watoto choo......