Maajabu na kweli: Walimu wa English Course wanaendesha magari ila walimu wa Mathe hawana hata baiskeli

Maisha bora na maendeleo yanachangiwa sana na mipango ya muhusika, haijaliishi una elimu gani au unafanya kazi gani.
 
Yeah kwa tz English ni dili kubwa Tena sana ukitaka kujua Hilo wafate baadhi ya wakuu wa wilaya na mikoa ongea nao English muda mrefu utapata majibu


Fullstop, kwishaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…