picha 7 tafadhari!
Hahahah we jamaa wewe huishiwi vituko yani hadi meno umehesabu kama si uongo ni nini
Tupe picha yke
Wakuu,
Nimepita mikumi muda si mrefu naelekea kikazi mbeya, ila pale mikumi tumekutana na kiumbe cha ajabu, ni mfano wa ngedere lakini ana mapembe 7, ana meno 7, ana miguu 7, cha ajabu alipotuona alitoa mlio mkubwa kama radi mara 7. lilikua ni tukio la kuogofya sana.
Huyo anaitwa Algeria ulikuwa unamuota
ze comedy imehamia humu du! ππ
HahahahahahHahahah we jamaa wewe huishiwi vituko yani hadi meno umehesabu kama si uongo ni nini
Wakuu,
Nimepita mikumi muda si mrefu naelekea kikazi mbeya, ila pale mikumi tumekutana na kiumbe cha ajabu, ni mfano wa ngedere lakini ana mapembe 7, ana meno 7, ana miguu 7, cha ajabu alipotuona alitoa mlio mkubwa kama radi mara 7. lilikua ni tukio la kuogofya sana.
Tena bange makushabuBangi