Maajabu: Nimekutana na kiumbe cha ajabu sana pale mikumi darajani mchana huu

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
416
Wakuu,

Nimepita mikumi muda si mrefu naelekea kikazi mbeya, ila pale mikumi tumekutana na kiumbe cha ajabu, ni mfano wa ngedere lakini ana mapembe 7, ana meno 7, ana miguu 7, cha ajabu alipotuona alitoa mlio mkubwa kama radi mara 7. lilikua ni tukio la kuogofya sana.
 
Acha fiksi kachala wangu
 
we jamaa kila siku umepita mikumi na kukutana na mnyama wa ajabu, jitahidi kubadilisha hata stori zako zishakuwa "outdated".
 
1472986029642.jpg
 
Wakuu,

Nimepita mikumi muda si mrefu naelekea kikazi mbeya, ila pale mikumi tumekutana na kiumbe cha ajabu, ni mfano wa ngedere lakini ana mapembe 7, ana meno 7, ana miguu 7, cha ajabu alipotuona alitoa mlio mkubwa kama radi mara 7. lilikua ni tukio la kuogofya sana.

Bangi
 
Back
Top Bottom