Maajabu picha bahari ya Galilaya kutokea angani inavyopendeza na kufanana na ramani ya bara la Afrika, Yesu Kristo alitembea juu ya maji yake

Victoria mwenyewe ni malkia wa wazungu uingereza... upuuzi mtupu.
Hivi ziwa Tanganyika na Victoria yaliandikwa kwenye biblia kitabu gani? Mbona tunasoma mambo ya wazungu tu hao?
 
Tunadanganywa sanaa aiseee
Sema kudanganyika ni choice ya mtu, mimi siamini huo upuuzi wa taifa teule, hakunaga kitu kama hicho.

Hakuna baba mtakatifu, baba wote Sawa, nchi zote Sawa tu...watu wote Sawa tu...

Dini ni upuuzi, imani ipo kabla ya dini, ni ya asili, mtu huzaliwa nayo... hizi dini za kwendea shule ndio huchengesha imani original kwenda matango pori.

Wawakamate wajinga wao, ziwa ni ziwa, maji ni maji, mlima ni mlima, hizo sijui victory, sijui Mt.. Livingston hizo ni mbwembwe... hamna tofauti na wanaojichongea masanamu yao wakumbukwe milele...upuuzi tu..
 
Sioni Kinachofanana Na Bara La Afrika Hapo Au Macho yangu ndo Mabovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…