Maajabu: Simba yapangiwa kucheza mechi 7 ndani ya siku 15

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Ratiba ya vipora ya Simba ligi kuu imetoka na kuonyesha maajabu ya Soka kwa kulazimisha kucheza mechi 7 ndani ya siku 15 huku akilazimika kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingi ndani ya siku 2.
Ratiba ya hivi haijawahi kutokea Duniani kukote.
Hata Kama TFF wanataka kuvimaliza ligi ndani ya Muda lakini naona hii Ni mateso kwa wachezaji
Jionee mwenyewe
Screenshot_20190415-182637~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumekucha sasa wakati muafaka wa mihamala kutekelezeka[emoji3]
Ratiba ya vipora ya Simba ligi kuu imetoka na kuonyesha maajabu ya Soka kwa kulazimisha kucheza mechi 7 ndani ya siku 15 huku akilazimika kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingi ndani ya siku 2.
Ratiba ya hivi haijawahi kutokea Duniani kukote.
Hata Kama TFF wanataka kuvimaliza ligi ndani ya Muda lakini naona hii Ni mateso kwa wachezaji
Jionee mwenyewe
View attachment 1072235

Je umeshawahi kuona timu yoyote duniani yenye viporo vingi hivyo? Wakati ule muda upo lakini mnajifanya eti tunawakilisha nchi! Mtuache kwanza, hao tp mazembe j5, walicheza mechi ya ligi jmosi wamecheza mechi!! Hata yanga sasa nao eti wanalalamika kuwa mechi zipo karibu karibu na wanasafiri sana!! Wakati ule ligi inaanza mechi tano zote walichezea dar, tukasema badaye italeta shida, sasa yanawakuta. Tatizo ni upangaji wa ratiba kwa wote sio suala la simba hapa
 
Ratiba ya vipora ya Simba ligi kuu imetoka na kuonyesha maajabu ya Soka kwa kulazimisha kucheza mechi 7 ndani ya siku 15 huku akilazimika kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingi ndani ya siku 2.
Ratiba ya hivi haijawahi kutokea Duniani kukote.
Hata Kama TFF wanataka kuvimaliza ligi ndani ya Muda lakini naona hii Ni mateso kwa wachezaji
Jionee mwenyewe
View attachment 1072235

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa dawa ni kupeleka timu mbili mikoa tofauti, wakati moja iko mkoa A ya pili imeshawasili mkoa B.
 
Back
Top Bottom