Nilidhani NMB hutoa gawio kwa serikali kama kawaida. Sasa hizi za kufanikisha mkutano wa hawa viongozi wa serikali imekaakaaje. Je hawa wajumbe serikali haiwalipi pia posho? Je kama NMB hawangetoa hizo hela, huu mkutano ungeshindwa kufanyika?Serikali Ina hisa ndani ya NMB,
Vile vile hata kama wangekuwa hawana hisa,hili li nchi,SI limejaa wezi watupu?kama waziri anaweza kuiba ekari 700!je Raisi ataiba ngapi