GreenLight
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 300
- 542
Kunani tenaImezuka tabia hapa jukwaani watu kufungua nyuzi zenye utopolo mwingi wakibeza mafanikio ya MOST SUCCESSFUL CLUB AND GIANT OF AFRICA. Huu ni uzamwamwa, uzuzu, utaahira na uzumbukuku wa mashabiki wa kikundi cha topoloz.
Bado hamjasema kenge nyie, UZI TAYARI.....
AaahaaaaKumbe kuishia robo ndio unakuwa giant wa Afrika. Na anayechukua kombe sijui atakuwa God pf Africa labda
Ni kweli yakuishia robo kila sikuSimba vs Al Ahly 3-3 Aggregate
Wydad vs Enyimba 4-0 Aggregate
Mamelodi vs Petro 2-0 Aggregate
Esperance vs Mazembe 3-1 Aggregate
Kwa takwimu hizi za michezo ya hivi karibuni ni dhahiri shahiri Simba hapa Africa iko level ya akina Al Ahly, Wydad, Mamelodi & Esperance
Ukiona hivyo ujue hawana ukubwa wowoteMbona mnatumia nguvu nyingi kuwaaminisha watu kuwa nyie ni wakubwa?
Si muache wataona wenyewe
Ndiyo, robo kwenye mashindano ambayo Utopolo imeingia hatua ya makundi baada ya miaka 25Ni kweli yakuishia robo kila siku
Na akapata point 20 kwa mkupuo mmojaNdiyo, robo kwenye mashindano ambayo Utopolo imeingia hatua ya makundi baada ya miaka 25
Kombe la Stella Manyanya? 😀🤣🤣Kumbe 1993 ilikuwa inacheza Fainali ya CAF timu ya Bbako na Mmaako????????
Ukazaliwa fwalalla wewe!!!!!!!!
ALHAJ RAGE mnamcheleweshea bure tu kumjengea mnara wake pale MSIMBAZI, kama nafasi finyu basi hata MOO ARENA sio mbaya.Ndiyo, robo kwenye mashindano ambayo Utopolo imeingia hatua ya makundi baada ya miaka 25
Wazee wa hovyoKumbe 1993 ilikuwa inacheza Fainali ya CAF timu ya Bbako na Mmaako????????
Ukazaliwa fwalalla wewe!!!!!!!!
AaahaaaALHAJ RAGE mnamcheleweshea bure tu kumjengea mnara wake pale MSIMBAZI, kama nafasi finyu basi hata MOO ARENA sio mbaya.
Makundi CAFCL yalianzishwa 1998.
YANGA mwaka huo huo ilitinga makundi.
Dunduka ilimchukua miaka mitano baadae kutinga makundi (2003).
Enzi hizó ukiwa katika NAFSI mbili ( SPERM na OVUM).
Ukisikia mwakarobo ndiyo huu sasaImezuka tabia hapa jukwaani watu kufungua nyuzi zenye utopolo mwingi wakibeza mafanikio ya MOST SUCCESSFUL CLUB AND GIANT OF AFRICA. Huu ni uzamwamwa, uzuzu, utaahira na uzumbukuku wa mashabiki wa kikundi cha topoloz.
Bado hamjasema kenge nyie, UZI TAYARI.....