Maajabu: Timu inayotumia robo karne kufika makundi kumcheka anayefika robo fainal CL kila mwaka

Imezuka tabia hapa jukwaani watu kufungua nyuzi zenye utopolo mwingi wakibeza mafanikio ya MOST SUCCESSFUL CLUB AND GIANT OF AFRICA. Huu ni uzamwamwa, uzuzu, utaahira na uzumbukuku wa mashabiki wa kikundi cha topoloz.

Bado hamjasema kenge nyie, UZI TAYARI.....
Kunani tena
 
Yanga ya Max na Ki inakera sana, na Bado! Makolo mpaka mseme!!
Kufa kiume Kila ligi na kukosa makombe kumeharibu akili za Mbumbumbu wengi!
 
Simba vs Al Ahly 3-3 Aggregate
Wydad vs Enyimba 4-0 Aggregate
Mamelodi vs Petro 2-0 Aggregate
Esperance vs Mazembe 3-1 Aggregate

Kwa takwimu hizi za michezo ya hivi karibuni ni dhahiri shahiri Simba hapa Africa iko level ya akina Al Ahly, Wydad, Mamelodi & Esperance
Ni kweli yakuishia robo kila siku
 
Ndiyo, robo kwenye mashindano ambayo Utopolo imeingia hatua ya makundi baada ya miaka 25
ALHAJ RAGE mnamcheleweshea bure tu kumjengea mnara wake pale MSIMBAZI, kama nafasi finyu basi hata MOO ARENA sio mbaya.
Makundi CAFCL yalianzishwa 1998.
YANGA mwaka huo huo ilitinga makundi.
Dunduka ilimchukua miaka mitano baadae kutinga makundi (2003).
Enzi hizó ukiwa katika NAFSI mbili ( SPERM na OVUM).
 
Aaahaaa
 
Imezuka tabia hapa jukwaani watu kufungua nyuzi zenye utopolo mwingi wakibeza mafanikio ya MOST SUCCESSFUL CLUB AND GIANT OF AFRICA. Huu ni uzamwamwa, uzuzu, utaahira na uzumbukuku wa mashabiki wa kikundi cha topoloz.

Bado hamjasema kenge nyie, UZI TAYARI.....
Ukisikia mwakarobo ndiyo huu sasa
 
Back
Top Bottom