GreenLight
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 300
- 542
Kunani tenaImezuka tabia hapa jukwaani watu kufungua nyuzi zenye utopolo mwingi wakibeza mafanikio ya MOST SUCCESSFUL CLUB AND GIANT OF AFRICA. Huu ni uzamwamwa, uzuzu, utaahira na uzumbukuku wa mashabiki wa kikundi cha topoloz.
Bado hamjasema kenge nyie, UZI TAYARI.....