Mockingbird
JF-Expert Member
- Jan 11, 2018
- 434
- 1,043
Kutoka kanda maalumu ya Ushindi wa wanaume wa mikoani tumepata taarifa ya kusikitisha kuhusu hawa wanaume-wanawake wa dar!
Walianza miwa kuwa wanamenyewa nakukatiwa vipande vipande ili watafune kwa urahisi, lakini walishindwa sasa hivi wanakamuliwa wanakunywa juisi!
Hilo tuliwasamehe.
Lakini hali imekua mbaya zaidi
Mwanzo walkua wanatafuna ugali hadi tunajiuliza kivipi mwanaume utafune ugali ni kumeza tuu MAAJABU siku hizi hawataki hata kutafuna kila msela getoni ana unga wa ulezi anakoroga uji anakula na dagaa mchele wake wenye ndimu analala..
Nyie wanaume badirikeni! Sisi huku KIPORO cha ugali wa ulezi tunameza tuu..
Wenu mwakilishi wa timu ya ushindi kutoka Mkoaniiii