Maajabu: Wanaume wa Dar siku hizi wanashindwa kumeza ugali wamehamia kwenye uji

Maajabu: Wanaume wa Dar siku hizi wanashindwa kumeza ugali wamehamia kwenye uji

Mi siongei nipo Mbeya sasa hivi nawamegea dada zenu tu.

Hii dozi ina mwezi wa pili, sasa kama mnaweza kazuieni daladala zinazotoka Uyole kuja Soweto kuna mtoto anakuja saa nane.
Ulivyolegea na wanawake wa mbeya walivyo si utalia kama litoto
 
Uji ndo habari ya Dar sikuhizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukiona wanamama wana makapu kuanzia saa 10 jioni usiulize kabeba nini! Uliza kikombe sh ngapi?!
 
We ukitaka meza hata Vyuma ...

Wenzenu wa dar tunashindana umeingiza sh ngap kwa siku na sio umekula dona...

Mtoto wa kiume mishe muda wote hata ukishindia maji pouwa..

Endekezen kula tukija mikoani tununue mnachozalisha na madada zenu tuwagongee...

Heshima mjini hela
 
Mwanaume wa Dar akiwa na mchumba wake mpendwa![emoji116][emoji53][emoji53][emoji53]
f8f3b43d27643124cf09a978e3053fc1.jpg
 
Hahaha kwa hiyo hadi ugali wanaona mgumu wanakoroga uji[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sasa mkuu kwan ugali hautafunwi?
 
Dah...Kitambo sana...ugali unafanya akili kuwa pumbafu....hili liko wazi sana..[emoji87]
 
Back
Top Bottom