Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We dada yetu c ndio huwa unatupikia uji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja wakuje
Me ndio mpishi wenu mkuu muache jaman kunywa uji jaman mkule ugali wa dona kama wanaume wa mikoaniWe dada yetu c ndio huwa unatupikia uji
Ahaa ugali wa dona tule tuko jela kitu sembe lain lain unaukata na kijikoMe ndio mpishi wenu mkuu muache jaman kunywa uji jaman mkule ugali wa dona kama wanaume wa mikoani
Mtakuwa walaini laini mkule dona jaman ndio mana wa mikoani wanawatukanaAhaa ugali wa dona tule tuko jela kitu sembe lain lain unaukata na kijiko
Uzur matus hayabadili jinsia, na ndio maana dada zao wakija mjin kaz yao kubwa mnaijua watulie hvyo hvyoMtakuwa walaini laini mkule dona jaman ndio mana wa mikoani wanawatukana
Kazi gani hiyoUzur matus hayabadili jinsia, na ndio maana dada zao wakija mjin kaz yao kubwa mnaijua watulie hvyo hvyo
Niikisema hapa nakula banKazi gani hiyo
Wakienda gengeni kununua matunda hadi ndizi wanataomba kumenyewa.
Matusi haya...Mwanaume wa Dar akifanya matengenezo ya umeme![emoji116][emoji53][emoji53][emoji53]![]()
Rafiki ww upo timu ya wanaume wa mkoani?Mtakuwa walaini laini mkule dona jaman ndio mana wa mikoani wanawatukana
Huyu atakua Castr hua anapigwa na NAHUJAYaani wa Dalisalama huwa nawashangaa sana
Utawakuta wanapenda maonesho na dada zetu kule posta....haaa cha ajabu baadhi yao nao ni chakula! Na rangi za ngozi wamebreach pia sauti wanaongelea puani
Mungu anawaona jamani.
Hahahah! Punga kabisa huyuMwanaume wa Dar akifanya matengenezo ya umeme![emoji116][emoji53][emoji53][emoji53]![]()