Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Nilifunga macho rafiki na sikujua kama unapitaga huku ujue.ayayayaya na wewe umepita huku [emoji85] [emoji85], ulifunga macho sio?
[emoji85] [emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilifunga macho rafiki na sikujua kama unapitaga huku ujue.ayayayaya na wewe umepita huku [emoji85] [emoji85], ulifunga macho sio?
Daaa maskini wee na vibamia vyaoha ha ha ha uchawi wa nyoka unaonekana maarufu sana mombasa but its good thing vijana wamezidi wizi i wish huyu mtaalam aje bongo tukomeshe wizi wa vifaa vya magari
[emoji5] [emoji5] umekua na adabu daraja la kwanza ANilifunga macho rafiki na sikujua kama unapitaga huku ujue.
[emoji85] [emoji85]
Hahahahahaha safi sana japo adhabu bado ndogo sanaView attachment 582522
Habari zinazochipuka hii leo toka Mombasa Nchini Kenya, wezi wawili yapata jana jioni waliliiba gari la bwana mmoja alilokuwa ameliegesha sehemu apate kinywaji kishe aende zake home, baada ya mabwana hao kufanya tendo hilo leo asubuhi wananchi wametamaushwa kwa kuwakuta wanaume hao wakicheza muziki kulizunguka gari hilo huku wakiwa uchi.
Gari hilo wanalodaiwa kuwa waliiba walikuwa wameliegesha pembeni huku nyoka wako shingoni!
Aisee iwe funzo kwa wengine, Mombasa hata shilingi haiokotwi, utashtukia umeliwa jicho usiku kucha ohhoo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji5] [emoji5] umekua na adabu daraja la kwanza A
Hako kasura hakatakiwi ona haya, unakatesa bure, hakana dhambi kabisa
Mungu wangu naamini yuko..being alive is reason enough that there is a supreme being somewhere.if you were brought to this world by some baboons then your god is the baboonWewe una dyslexia au nini?
Hata "atheist" hujui kuandika?
Unaweza kuthibitisha Mungu wako yupo?
Hahaa...hata mmi nmeona hivyo.ngoja niachane nayeKatika upuuz unaoweza kuufanya huku JF ni kubishana na huyo jamaa
Bora upoteze mda wako kumtongoza hata Miss Chaga
Umeandika unaamini, sijakuuliza kamaunaamini, nimeuliza uthibitisho.Mungu wangu naamini yuko..being alive is reason enough that there is a supreme being somewhere.if you were brought to this world by some baboons then your god is the baboon
mrembo umeadimika sana, hivi upo?
Na kama umesoma nimesema being alive is REASON enough...kufa ntakufa na wengine watazaliwa.Umeandika unaamini, sijakuuliza kamaunaamini, nimeuliza uthibitisho.
Hujajibu uliloulizwa,ulilojibu hujaulizwa.
Kama unaamini kwamba Mungu yupokwa sababu unaishi, ukiona mtu anakufa na kujua kwamba na wewe utakufa, utaacha kuamini Mungu yupo?
Kama uhai unaonyesha Mungu yupo, basi kifo, ambacho kinashinda kitu chochote chenye uhai, kinaonyesha Mungu hayupo.Na kama umesoma nimesema being alive is REASON enough...kufa ntakufa na wengine watazaliwa.
Sasa kama hujawahi kuuona inakuwaje useme unaujua upepo?Define "kuuona".
Kama sijawahi kuuona hilo linathibitisha Mungu yupo?
Linathibitisha uchawi upo?
Sent from my Kimulimuli
Hata nani sins hakika, ila unatakiwa uwe unafikiria mbali kidogo. Picha ya pili imechukuliwa angle nyingine. Tazama tena mkuu.Ina maana hao wezi walikuwa wanalisogeza gari wao au lilikuwa linasogezwa na mwenye gari kwa uchawi?
Najaribu kuangalia gari lilipo picha ya kwanza na picha ya pili. ... sioni lami kwenye picha moja. ..
Wapi nimesema sijawahi kuuona?Sasa kama hujawahi kuuona inakuwaje useme unaujua upepo?
Is that the best argument you can come up with?does it make sense to you?...ni sawa na kusema nlijjenga nyumba baadae nkaibomoa kwa hiyo sikuweko kabisa kwa sababu nyumba haiko...anyway you have your freedom to believe what you want.byeKama uhaiunaonyesha Mungu yupo, basi kifo, ambacho kinashinda kitu chochote chenye uhai, kinaonyesha Mungu hayupo.
Mungu wako angekuwepo, kungekuwa hamna kifo.
Hata nani sins hakika, ila unatakiwa uwe unafikiria mbali kidogo. Picha ya pili imechukuliwa angle nyingine. Tazama tena mkuu.