Maajabu! Wezi wakata mauno usiku kucha wakiwa uchi baada ya kuiba gari

Maajabu! Wezi wakata mauno usiku kucha wakiwa uchi baada ya kuiba gari

Nilifunga macho rafiki na sikujua kama unapitaga huku ujue.

[emoji85] [emoji85]
[emoji5] [emoji5] umekua na adabu daraja la kwanza A

Hako kasura hakatakiwi ona haya, unakatesa bure, hakana dhambi kabisa
 
View attachment 582522
Habari zinazochipuka hii leo toka Mombasa Nchini Kenya, wezi wawili yapata jana jioni waliliiba gari la bwana mmoja alilokuwa ameliegesha sehemu apate kinywaji kishe aende zake home, baada ya mabwana hao kufanya tendo hilo leo asubuhi wananchi wametamaushwa kwa kuwakuta wanaume hao wakicheza muziki kulizunguka gari hilo huku wakiwa uchi.

Gari hilo wanalodaiwa kuwa waliiba walikuwa wameliegesha pembeni huku nyoka wako shingoni!

Aisee iwe funzo kwa wengine, Mombasa hata shilingi haiokotwi, utashtukia umeliwa jicho usiku kucha ohhoo!
Hahahahahaha safi sana japo adhabu bado ndogo sana

Pilato 007
 
[emoji5] [emoji5] umekua na adabu daraja la kwanza A

Hako kasura hakatakiwi ona haya, unakatesa bure, hakana dhambi kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Aisee. Haya bana rafiki Ngoja nipite hivi basi. [emoji124] [emoji124]

Sirudi tena pande hizi. [emoji23] [emoji23]
 
Wewe una dyslexia au nini?

Hata "atheist" hujui kuandika?

Unaweza kuthibitisha Mungu wako yupo?
Mungu wangu naamini yuko..being alive is reason enough that there is a supreme being somewhere.if you were brought to this world by some baboons then your god is the baboon
 
kisanya unawezaje kulieleza hili. Maana kuna wengine hawaamini kama Mungu yupo na shetani na uchawi pia upo.

Kwanini kama waafrika tunaujuzi hivi haturogi wazungu wawe mandondocha watufanyie kazi kwa ujuzi wao tu.

Au kupiga kipapai kiduku atuondoleee hatari ya Hydrojen Bomb!
 
Mungu wangu naamini yuko..being alive is reason enough that there is a supreme being somewhere.if you were brought to this world by some baboons then your god is the baboon
Umeandika unaamini, sijakuuliza kamaunaamini, nimeuliza uthibitisho.

Hujajibu uliloulizwa,ulilojibu hujaulizwa.

Kama unaamini kwamba Mungu yupokwa sababu unaishi, ukiona mtu anakufa na kujua kwamba na wewe utakufa, utaacha kuamini Mungu yupo?
 
Na kama umesoma nimesema being alive is REASON enough...kufa ntakufa na wengine watazaliwa.
 
Na kama umesoma nimesema being alive is REASON enough...kufa ntakufa na wengine watazaliwa.
Kama uhai unaonyesha Mungu yupo, basi kifo, ambacho kinashinda kitu chochote chenye uhai, kinaonyesha Mungu hayupo.

Mungu wako angekuwepo, kungekuwa hamna kifo.
 
Ina maana hao wezi walikuwa wanalisogeza gari wao au lilikuwa linasogezwa na mwenye gari kwa uchawi?

Najaribu kuangalia gari lilipo picha ya kwanza na picha ya pili. ... sioni lami kwenye picha moja. ..
 
Hata nani sins hakika, ila unatakiwa uwe unafikiria mbali kidogo. Picha ya pili imechukuliwa angle nyingine. Tazama tena mkuu.
 
Kama uhaiunaonyesha Mungu yupo, basi kifo, ambacho kinashinda kitu chochote chenye uhai, kinaonyesha Mungu hayupo.

Mungu wako angekuwepo, kungekuwa hamna kifo.
Is that the best argument you can come up with?does it make sense to you?...ni sawa na kusema nlijjenga nyumba baadae nkaibomoa kwa hiyo sikuweko kabisa kwa sababu nyumba haiko...anyway you have your freedom to believe what you want.bye
 
Back
Top Bottom