Uchaguzi 2020 Maajabu ya 2020: Pascal Mayalla kura 1 Kawe, January na Nape Bungeni bila uchaguzi!

Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
Mayalla...sasa elfu 2 na 25 ccm watamuweka nani kugombea urais?

Mimi naisi ni makonda kama sio yule waziri wa ujenzi
 
Halafu hata hiyo kura 1 ulipigiwa na yule mwanaJF.?

kura yako ulimpigia nani au iliharibika?
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
Hauna nyota kaka, USALITI ![emoji23][emoji23]
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
Bro Pascal wewe aukushindwa,umethubutu na umefanya.
walioshindwa ni wale wasio na uthubutu wala uwezo wa kujaribu na kufanya.
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
Aaah kheri yako wewe Mayalla, baba yako wa kanda ya ziwa mzee Mapesa yeye kwenye uchaguzi mkuu hakuipata hata ile kura yake! Aliishia kucheka tu.
Nyie watu wa kanda ya ziwa mnavituko.
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P

Yote Tisa ila kumi Sasa Yani KURA moja. Bora hukupita ungeuza nyumba ufanye kampeni ingekula kwako utaona Hilo Jimbo Kama litachukuliwa na ccm.

Utakuja washukuru wajumbe
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
# NI YEYE TU 2020
# THE BULLET PROOVE
# THE IRON PRESIDENT
# THE REAL KINJEKETILE BULLET CONDENCER
 
Kuna mtu kanikumbusha kupigwa chini kwa pascal mayalla katika kura za maoni za wabunge nikawa nacheka tu nikajiuliza sasa mkuu alitaka apite awe mbunge kivipi? Kashindwa kuongoza watoto wake ambao hata 20 hawafiki ataweza kuingoza kawe yenye watu lukuki?

Kashindwa kutatua kero za familia yake, atawezaje kutatua kero za wana kawe? Kawe kuna mambo kibao ambayo angeshindwa kuyatatua.

Aanzie kwanza kujenga familia yake ndio aanze kuijenga kawe ya wenyewe, aanze kwanza kuwalea watoto wake na kuwafundisha adabu waache kutelekeza damu zao na baba yupo kiupaumbele kufundisha watoto zake tabia ya kukataa watoto. Uyo ndiye aliyetegemea angeupata ubunge kwa kulala na kuamka tayari mbunge¿????
Cc😛ascal Mayalla
 
Hii sasa ni kumdhalilisha mwanachama mwenzetu Pascal Mayalla sio sawa. Alishalitolea maelezo na kuna uzi wenye maudhui haya, hii inakya chuki binafsi na kukomoana.

Kuna baadhi ya mambo hasa ikija kwenye siasa natofautiana sana na huyu mwamba, lakini haiondoi uhalisia kwamba ni binadam kama wengine anayestahili heshima kama kila mmoja wetu anavyopenda atendewe.

Wito
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
Hahaha kaka jukwaa likipooza huwa zinatafutwa hoja za kupozea vichwa.
Siasa ni sawa na mpira tu, ukiishabikia Simba ikafungwa Yanga lazima wakuzodoe.

Na huwa hivyo hata Yanga wakifungwa. Kwa ufupi hii siyo personal attack hii ni kachumbali jukwaani.

Kuna mtu aliniambia anataka anione jukwaani baada ya tarehe 28/10, nikamwambia huu sio uchaguzi wa kwanza na hautakuwa wa mwisho, mimi nitakuwepo hapa hapa.

Kuna msemo wa kizungu unasema" If you can't win don't urgue" . Lakini pia huwezi kushinda usiposhiriki.

Mimi nilikupongeza kwa kujipima kwa wana ccm wenzako, ulishindwa lakini usinge shiriki ungekuwa na maswali mengi sana, labda ningeshinda mbona nina kubarika ,lakini ulishiriki ukajionea mwenyewe.

You don't fail for trying once, you still need 999 more trials before you can let it go.

Mimi napenda wanaojaribu, muone Prof Jay wa Mitulinga, leo ni muheshimiwa, hata wewe one day utakuwa mbunge au muheshimiwa, if that's your dream.

Don't be disappointed hizi ni kachumbali au appetizers jukwaani.
 
Hahaha kaka jukwaa likipooza huwa zinatafutwa hoja za kupozea vichwa.
Siasa ni sawa na mpira tu, ukiishabikia Simba ikafungwa Yanga lazima wakuzodoe.

Na huwa hivyo hata Yanga wakifungwa. Kwa ufupi hii siyo personal attack hii ni kachumbali jukwaani.

Kuna mtu alinuambia anataka anione jukwaani baada ya tarehe 28/10, nikamwambia huu sio uchaguzi wa kwanza na hautakuwa wa mwisho, mimi nitakuwepo hapa hapa.

Kuna msemo wa kizungu unasema" If you can't win don't urgue" . Lakini kila huwezi kushinda usiposhiriki.

Mimi nilikupongeza kwa kujipima kwa wana ccm wenzako, ulishindwa lakini using shiriki ungekuwa na maswali mengi sana, labda ningeshinda mbona na kubarika ,lakini ulishiriki ukajionea mwenyewe.

You don't fail for trying once, you still need 999 more trials before you can let it go.

Mimi napenda wanaojaribu, muone Prof Jay wa Mitulinga, leo ni muheshimiwa, hata wewe one day utakuwa mbunge au muheshimiwa, if that's your dream.

Don't be disappointed hizi ni kachumbali au appetizers jukwaani.
Thanks for encouragement
P
 
Hii sasa ni kumdhalilisha mwanachama mwenzetu Pascal Mayalla sio sawa. Alishalitolea maelezo na kuna uzi wenye maudhui haya, hii inakya chuki binafsi na kukomoana.

Kuna baadhi ya mambo hasa ikija kwenye siasa natofautiana sana na huyu mwamba, lakini haiondoi uhalisia kwamba ni binadam kama wengine anayestahili heshima kama kila mmoja wetu anavyopenda atendewe.

Wito

Moderator
Tafadhali unganisheni huu uzi na ule wa awali au ufuteni kabisa ikiwapendeza.
Tunajifunza siasa za uchaguzi kwani 2025 siyo mbali panapo uzima!

Siasa haina kudhalilika bwashee ndio maana unaona akina Kibajaji, Mwigullu, Gambo wanadunda tu pamoja na yote yanayosemwa mitandaoni.
 
Back
Top Bottom