Uchaguzi 2020 Maajabu ya 2020: Pascal Mayalla kura 1 Kawe, January na Nape Bungeni bila uchaguzi!

Je unaona unavyotaka kuona ama unauona uhalisia wa mambo.
 
Tunajifunza siasa za uchaguzi kwani 2025 siyo mbali panapo uzima!

Siasa haina kudhalilika bwashee ndio maana unaona akina Kibajaji, Mwigullu, Gambo wanadunda tu pamoja na yote yanayosemwa mitandaoni.

Lakini staha izingatiwe, sie huyu ni mwenzetu tuko nae hapa JF bega kwa bega. Hao uliowataja umewaona hapa jukwaani mara ya mwisho lini?

Vile vile kwa kuwa yeye hajasema atagombea tena 2025, isingekuwa busara kumwadhibu kwa yaliyopita.

Maendeleo yana chama kwa awamu ya tano.
 
Tunajifunza siasa za uchaguzi kwani 2025 siyo mbali panapo uzima!

Siasa haina kudhalilika bwashee ndio maana unaona akina Kibajaji, Mwigullu, Gambo wanadunda tu pamoja na yote yanayosemwa mitandaoni.
Hahaha kuna watu wanataka tukishindwa tusionekane.

Mbona mpira tunashabikia team zetu zinafungwa na tunazodolewa tunasahau na maisha yanaendelea tu?!

Siasa ni hivyo hivyo, hata akishinda Magufuli kazini nitaenda, akishinda Lisu kazini nitaenda.

Sio kwamba akishinda fulani basi washabiki wake sasa wanakula bure.

Siasa kama mpira unachagua team unaishabikia mwanzo mwisho.

Kwani chaguzi ngapi zimepita na tumo humu humu?!
 
Kwani kupata kura moja halafu ikajadiliwa kuna tatizo gani? Pascal atabaki kuwa pascal na heshima yake haishuki sababu wanajamii forum wanajadili na kufurahi kwa kura aliyoipata.

Kikwete alitukanwa weeee ila bado heshima yake ipo, na Mayalla wapo wanaomkebehi kwa hiyo kura ila wanayatamani mafanikio aliyofikia na heshima yake ipo na itaendelea kuwepo japokuwa kwa mtu wa aina yake kugombea kupitia ccm ni kuonyesha njaa.
 
Tunaishukuru hiyo kura moja uliyopata maana usingepata kitu ungekataa hukushiriki.
 
Akiacha unafiki ataachwa, akiendelea kuwa mnafiki atapigwa tu.
 
Maana yake mchango wako wa kusifu kila kitu cha CCM, hasa watu wanaoumizwa wajumbe hawaukubali.
Baki CCM BUT Change direction brother.
 

Kama mkubwa P amini Kila likuepukalo lina heri furahi sababu una heri

YohanneMbatizaji johnthebaptist kwani roho wa bwana amekushuhudia nini Leo? Kwanini unaongea kwa mafumbo?
 
Kusema alipata kura moja ndio kumuadhibu?!!

Hii inampa changamoto kwamba 2025 aje kivingine.

Mimi namkubali sana Pascal na niko Kawe na huenda hiyo kura moja aliyoipata ni yangu!
 

Tatizo sio kujadili au kutojadili kura moja, kuna nyuzi kadhaa ikiwepo maelezo yake mwenyewe kuhusu hiyo kura moja. Hapakua na umuhimu wa kufungua uzi mwingine wa maudhui yale yale.
 
Duh...!. yamekuwa haya...!.
P
 
Ulipata kura ya mwanajf maana wewe sio mbunge, halafu kama Gwajizzo a.k.a Chid uliwahi Sema "kakambuni' kako kanakutosha.
 
Pole comrade usikate TAMAA
 
Umezidi kiherehere kwa msukuma mwenzio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…