Maajabu ya Afrika: Picha zinapingana na Uhalisia (DR Congo U16 vs Senegal U16)

Maajabu ya Afrika: Picha zinapingana na Uhalisia (DR Congo U16 vs Senegal U16)

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
26,021
Reaction score
79,710
Team ya taifa ya chini ya umri wa miaka 16 ya DR Congo imeibuka bingwa wa mashindano ya CAF ya vijana chini ya miaka 16 (U16 Africa Youth/Schools Tournament) baada ya kuifunga Senegal kwa goal 3-1.

Hivi ndiyo vikosi vya team zote mbili.

Mabingwa DR Congo.

IMG-20220221-WA0009.jpg


Mshindi wa pili Senegal.
IMG-20220221-WA0010.jpg



Mchezaji bora wa mashindano. Ana miaka 15 tu.
IMG-20220221-WA0012.jpg

IMG-20220221-WA0011.jpg
 
Huwa sicheki ovyo ila nimecheka sana leo,hiyo njemba hata mi sioni ndani eti ina miaka 15 dah huyo si umri wa kagere
 
Ndo maana Senegal wana taji la ubingwa wa Soka Afrika.. Na kwa sasa ndo team yenye mchezaji bora kabisa duniani!! (Sadio Mane) achilia mbali wachezaji wake wengine katika ligi bora barani Ulaya

Ukileta magumashi huku chini katika kujenga msingi imara uta ambulia mafanikio ya muda mfupi tu ila katika malengo ya muda mrefu utakuwa haujapata kitu.
 
Team ya taifa ya chini ya umri wa miaka 16 ya DR Congo imeibuka bingwa wa mashindano ya CAF ya vijana chini ya miaka 16 (u16 Africa Youth/Schools Tournament) baada ya kuifunga Senegal kwa goal 3-1.

Hivi ndio vikosi vya team zote mbili

Mabingwa DR Congo.

View attachment 2126042

Mshindi wa pili Senegal.
View attachment 2126044


Mchezaji bora wa mashindano. Ana miaka 15 tu.
View attachment 2126046
View attachment 2126056

Huyu kipa wa DRC naye ni 15 years old?
 
Back
Top Bottom