Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
- Thread starter
- #21
Yaweza kuwa kwakuwa lazima hapo ana miaka chini ya 16 😂😂Huyu kipa wa DRC naye ni 15 years old?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaweza kuwa kwakuwa lazima hapo ana miaka chini ya 16 😂😂Huyu kipa wa DRC naye ni 15 years old?
Dah nimejikuta nacheka kwa sautii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Team ya taifa ya chini ya umri wa miaka 16 ya DR Congo imeibuka bingwa wa mashindano ya CAF ya vijana chini ya miaka 16 (u16 Africa Youth/Schools Tournament) baada ya kuifunga Senegal kwa goal 3-1.
Hivi ndio vikosi vya team zote mbili
Mabingwa DR Congo.
View attachment 2126042
Mshindi wa pili Senegal.
View attachment 2126044
Mchezaji bora wa mashindano. Ana miaka 15 tu.
View attachment 2126046
View attachment 2126056
Ndio miafrika tulivyo.Dah nimejikuta nacheka kwa sautii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpaka umenichekesha na mimi mbele za watu. Ila Afrika Afrika Afrika hatari sana, nimekumbuka umri wa Wema Sapenga ulivyogomeaga miaka 26 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa sicheki ovyo ila nimecheka sana leo,hiyo njemba hata mi sioni ndani eti ina miaka 15 dah huyo si umri wa kagere
Yupo huyo?
Kuna mmoja anachezea team moja Italy ni mkongo. Anasema alizaliwa 1995 halafu mama yake alifariki 1989
Heeh[emoji2][emoji2][emoji2] kazi kweli kweli[emoji28][emoji28][emoji28] Sasa Congo kama hao ndio under 16, je over 18 si vigagula kabisa[emoji16][emoji16]Team ya taifa ya chini ya umri wa miaka 16 ya DR Congo imeibuka bingwa wa mashindano ya CAF ya vijana chini ya miaka 16 (u16 Africa Youth/Schools Tournament) baada ya kuifunga Senegal kwa goal 3-1.
Hivi ndio vikosi vya team zote mbili
Mabingwa DR Congo.
View attachment 2126042
Mshindi wa pili Senegal.
View attachment 2126044
Mchezaji bora wa mashindano. Ana miaka 15 tu.
View attachment 2126046
View attachment 2126056
Nyembe za kutosha zimeng'oa visiki kidevuni kisha unambie ana 15 labda ndevu za ukoo. Jambo hili pana waqt hivi under under za Ghana zilitisha katika mashindano ya kombe la dunia la under under lakini ikaja bainika ni vijeba na nadhani walifungiwa kwa muda flan.Team ya taifa ya chini ya umri wa miaka 16 ya DR Congo imeibuka bingwa wa mashindano ya CAF ya vijana chini ya miaka 16 (u16 Africa Youth/Schools Tournament) baada ya kuifunga Senegal kwa goal 3-1.
Hivi ndio vikosi vya team zote mbili
Mabingwa DR Congo.
View attachment 2126042
Mshindi wa pili Senegal.
View attachment 2126044
Mchezaji bora wa mashindano. Ana miaka 15 tu.
View attachment 2126046
Team ya taifa ya chini ya umri wa miaka 16 ya DR Congo imeibuka bingwa wa mashindano ya CAF ya vijana chini ya miaka 16 (u16 Africa Youth/Schools Tournament) baada ya kuifunga Senegal kwa goal 3-1.
Hivi ndio vikosi vya team zote mbili
Mabingwa DR Congo.
View attachment 2126042
Mshindi wa pili Senegal.
View attachment 2126044
Mchezaji bora wa mashindano. Ana miaka 15 tu.
View attachment 2126046
View attachment 2126056
Na sura ngumu pia za kizeeWakongo ndivyo walivyo wana maumbo makubwa
Hawa walikuwepo enzi ya vita ya kagera hv kumbe umri wao uliganda mahali.
NomaAcha hyo kuna hii team ya krc genk U13 et hyo njemba nyeusi ina miaka 11 harafu huyo dogo ana 12View attachment 2126958