Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Yupo huyo?Yule was Serengeti boys ilikuwaje
Mzee huo uso umekomaa kinyama hata issue sio umbo.Kuna mtu atasema wakongo wana maumbo makubwa.
Huyo kashanyoa ndevu mpaka kwa kutumia chupa 😂Huyo mchezaji bora hadi kidevu kimeshakomaa kabisa, eti ana miaka 15?[emoji28]
Ndio tena huota ndevu wakiwa na miaka 8 hadi 9Kuna mtu atasema wakongo wana maumbo makubwa.
Kwenye hayo mashindano ya cecafa u23 team ziliruhusiwa kuongeza wachezaji watatu wa zaidi ya hiyo miakaYule was Serengeti boys ilikuwaje
Bila kusahau wanakula nyani!Kuna mtu atasema wakongo wana maumbo makubwa.
Yaani ukiangalia picha tu za wachezaji wa senegal dhidi ya wachezaji wa Congo unaona kabisa ni mechi ya wababa na wanaeSenegal wana vitoto, ika kongo ni baba wa watoto wa senegal [emoji23][emoji1787]
Team ya taifa ya chini ya umri wa miaka 16 ya DR Congo imeibuka bingwa wa mashindano ya CAF ya vijana chini ya miaka 16 (u16 Africa Youth/Schools Tournament) baada ya kuifunga Senegal kwa goal 3-1.
Hivi ndio vikosi vya team zote mbili
Mabingwa DR Congo.
View attachment 2126042
Mshindi wa pili Senegal.
View attachment 2126044
Mchezaji bora wa mashindano. Ana miaka 15 tu.
View attachment 2126046
View attachment 2126056