Maajabu ya Afrika: Picha zinapingana na Uhalisia (DR Congo U16 vs Senegal U16)

Dah nimejikuta nacheka kwa sautii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huwa sicheki ovyo ila nimecheka sana leo,hiyo njemba hata mi sioni ndani eti ina miaka 15 dah huyo si umri wa kagere
Mpaka umenichekesha na mimi mbele za watu. Ila Afrika Afrika Afrika hatari sana, nimekumbuka umri wa Wema Sapenga ulivyogomeaga miaka 26 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Heeh[emoji2][emoji2][emoji2] kazi kweli kweli[emoji28][emoji28][emoji28] Sasa Congo kama hao ndio under 16, je over 18 si vigagula kabisa[emoji16][emoji16]

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Nyembe za kutosha zimeng'oa visiki kidevuni kisha unambie ana 15 labda ndevu za ukoo. Jambo hili pana waqt hivi under under za Ghana zilitisha katika mashindano ya kombe la dunia la under under lakini ikaja bainika ni vijeba na nadhani walifungiwa kwa muda flan.
 
Hao vijana wa senegal watakuja kuwa hatari kwakuwa wameweza kuwatoboa hao vijeba goli moja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…