Maajabu ya baadhi ya makanisa: Wapo radhi kumwabudu na kumheshimu Mwamposa lakini siyo Bikira Maria kama vile alifanya kosa kubwa sana kumzaa Yesu

TUSOME INJILI YA:

LUKA 1: 40-56

40 Baada ya siku chache, Mariamu aliharakisha kwenda mji mmoja katika milima ya Yudea. Akaingia nyumbani kwa Zakaria akamsalimu Elizabeti.

41 Naye aliposikia salaamu za Mariamu, mtoto aliyekuwa tumboni mwake aliruka. Elizabeti akajazwa na Roho Mtakatifu,

42 akasema kwa sauti kubwa: “Umebarikiwa wewe zaidi ya wanawake wengine wote, naye mtoto utakayemzaa amebari kiwa.

43 Sikustahili heshima hii ya kutembelewa na mama wa Bwana wangu!

44 Mara tu niliposikia salaamu zako, mtoto aliyeko tum boni mwangu aliruka kwa furaha.

45 Wewe umebarikiwa kwa kuwa uliamini kwamba Bwana atatimiza yale aliyokuambia.”

46 Mariamu akasema: “Namtukuza Bwana,

47 na roho yangu inamfurahia Mungu Mwokozi wangu.

48 Kwa kuwa ameutambua unyonge wa mtumishi wake. Tangu sasa vizazi vyote wataniita niliyebarikiwa.

49 Kwa maana, yeye Mwenye Uwezo, amenitendea mambo ya ajabu! Jina lake ni taka tifu.

50 Rehema zake hudumu vizazi hata vizazi kwao wamchao.

51 Kwa mkono wake ametenda mambo makuu. Wenye kiburi mioyoni mwao amewatawanya.

52 Amewaangusha wafalme kutoka katika viti vyao vya enzi na kuwainua wanyonge.

53 Amewashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri na matajiri amewafukuza mikono mitupu.

54 Amem saidia mtumishi wake Israeli, akiikumbuka rehema yake,

55 kama alivyowaahidi baba zetu Ibrahimu na uzao wake daima.”

56 Mar iamu akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyum bani kwake.
 
Sasa kwanini mnapiga magoti kumwabudu na mnazo Sala za kumwomba maria awasaidie!!

Hayo ni makufuru, JEHANUM inawahusu.

Hiyo ni dini ya shetani na pope ni agent wake mkuu.
Imeandikwa ndani ya biblia kuwa vizazi vyote watamuita mbarikiwa. Nasi tumamiita mbarikiw kwa njia hiyo. Ukiataka kwenda kariakoo unaweza kupita njia yoyote lakini utafika kariakoo
 
TUSOME INJILI YA:

LUKA 1: 40-56

40 Baada ya siku chache, Mariamu aliharakisha kwenda mji mmoja katika milima ya Yudea. Akaingia nyumbani kwa Zakaria akamsalimu Elizabeti.

41 Naye aliposikia salaamu za Mariamu, mtoto aliyekuwa tumboni mwake aliruka. Elizabeti akajazwa na Roho Mtakatifu,

42 akasema kwa sauti kubwa: “Umebarikiwa wewe zaidi ya wanawake wengine wote, naye mtoto utakayemzaa amebari kiwa.

43 Sikustahili heshima hii ya kutembelewa na mama wa Bwana wangu!

44 Mara tu niliposikia salaamu zako, mtoto aliyeko tum boni mwangu aliruka kwa furaha.

45 Wewe umebarikiwa kwa kuwa uliamini kwamba Bwana atatimiza yale aliyokuambia.”

46 Mariamu akasema: “Namtukuza Bwana,

47 na roho yangu inamfurahia Mungu Mwokozi wangu.

48 Kwa kuwa ameutambua unyonge wa mtumishi wake. Tangu sasa vizazi vyote wataniita niliyebarikiwa.

49 Kwa maana, yeye Mwenye Uwezo, amenitendea mambo ya ajabu! Jina lake ni taka tifu.

50 Rehema zake hudumu vizazi hata vizazi kwao wamchao.

51 Kwa mkono wake ametenda mambo makuu. Wenye kiburi mioyoni mwao amewatawanya.

52 Amewaangusha wafalme kutoka katika viti vyao vya enzi na kuwainua wanyonge.

53 Amewashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri na matajiri amewafukuza mikono mitupu.

54 Amem saidia mtumishi wake Israeli, akiikumbuka rehema yake,

55 kama alivyowaahidi baba zetu Ibrahimu na uzao wake daima.”

56 Mar iamu akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyum bani kwake.
Salute.
 
Una tatizo kubwa sana katika kufikiri.

Wa kupewa sifa na Heshima na utukufu ni Mungu pekee.

Mariam na Mwaposa ni viumbe tu.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Hii "Wa kupewa sifa na Heshima na utukufu ni Mungu pekee?"
Sikubaliani nayo hata kidogo. Amri ya nne (4) ya huyo unayemsema ni Mungu inasema "Waheshimu baba na mama yako ......." au hilo neno Heshimu halipo kwenye kitabu chako? Tena mbona juzi baada ya tukio la Mkesha wa Mwamposa, Ww na wenzio hadi leo mnamsifia Mwamposa? Je, Mwamposa amechukua nafasi ya Mungu?
Mbona watu na ww ukiwa ni mmojawapo, mna mtukuza sana i.e. mnampa Utukufu Mwamposa kwa mahubiri na miujiza yake?
Kumbuka kwamba Kauli ya kwanza Amri/Agizo( first and foremost) alilotoa Mungu kwa Musa pale mlimani ni: USIABUDU miungu wengie ...... mbona hayo maneno cjui Heshima, Sifa na Utukufu na hakuyasema au unadhani alikuwa hayajui?? alikosa muda na nafasi sasa wewe unamjazilia?
 
USOME INJILI YA:

LUKA 1: 40-56

40 Baada ya siku chache, Mariamu aliharakisha kwenda mji mmoja katika milima ya Yudea. Akaingia nyumbani kwa Zakaria akamsalimu Elizabeti.

41 Naye aliposikia salaamu za Mariamu, mtoto aliyekuwa tumboni mwake aliruka. Elizabeti akajazwa na Roho Mtakatifu,

42 akasema kwa sauti kubwa: “Umebarikiwa wewe zaidi ya wanawake wengine wote, naye mtoto utakayemzaa amebari kiwa.

43 Sikustahili heshima hii ya kutembelewa na mama wa Bwana wangu!

44 Mara tu niliposikia salaamu zako, mtoto aliyeko tum boni mwangu aliruka kwa furaha.

45 Wewe umebarikiwa kwa kuwa uliamini kwamba Bwana atatimiza yale aliyokuambia.”

46 Mariamu akasema: “Namtukuza Bwana,

47 na roho yangu inamfurahia Mungu Mwokozi wangu.

48 Kwa kuwa ameutambua unyonge wa mtumishi wake. Tangu sasa vizazi vyote wataniita niliyebarikiwa.

49 Kwa maana, yeye Mwenye Uwezo, amenitendea mambo ya ajabu! Jina lake ni taka tifu.

50 Rehema zake hudumu vizazi hata vizazi kwao wamchao.

51 Kwa mkono wake ametenda mambo makuu. Wenye kiburi mioyoni mwao amewatawanya.

52 Amewaangusha wafalme kutoka katika viti vyao vya enzi na kuwainua wanyonge.

53 Amewashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri na matajiri amewafukuza mikono mitupu.

54 Amem saidia mtumishi wake Israeli, akiikumbuka rehema yake,

55 kama alivyowaahidi baba zetu Ibrahimu na uzao wake daima.”

56 Mar iamu akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyum bani kwake.
 
Ingekuwa makanisa au watu wamejenga sanamu au wameweka picha ya Mwamposa ndani mwao ndio wanamfanyia ibada ningeongea kitu.

Ww mtoa mada huwa ukienda huko Church huwa unajihubiria mwenyew!? Huwa kuna mchungaji wenu huko mnamuita Padre sasa sjui huwa unaenda kumuabudu Padre au Mungu kama ni Mungu hao wanaoenda kwa Mwaposa huenda pia kuabudu Mungu huyo Mwamposa ni mtu tu kama alvo Padre.

Kuhusu Bikra Maria heshima yake ipo na anaheshimika kama Mama wa Yesu Kristo ni heshima gn nyingne unayotaka watu wa KKKT au ULOKOLE waitoe!?
 
Yaani unakuta mtu anamtukana mama yake Yesu alafu anaenda kumuomba Yesu amsaidie. Hivi kweli mtu anaweza akamtukana mama yako alafu ukamsaidia? WAJIRATIBU

USOME INJILI YA:

LUKA 1: 40-56

40 Baada ya siku chache, Mariamu aliharakisha kwenda mji mmoja katika milima ya Yudea. Akaingia nyumbani kwa Zakaria akamsalimu Elizabeti.

41 Naye aliposikia salaamu za Mariamu, mtoto aliyekuwa tumboni mwake aliruka. Elizabeti akajazwa na Roho Mtakatifu,

42 akasema kwa sauti kubwa: “Umebarikiwa wewe zaidi ya wanawake wengine wote, naye mtoto utakayemzaa amebari kiwa.

43 Sikustahili heshima hii ya kutembelewa na mama wa Bwana wangu!

44 Mara tu niliposikia salaamu zako, mtoto aliyeko tum boni mwangu aliruka kwa furaha.

45 Wewe umebarikiwa kwa kuwa uliamini kwamba Bwana atatimiza yale aliyokuambia.”

46 Mariamu akasema: “Namtukuza Bwana,

47 na roho yangu inamfurahia Mungu Mwokozi wangu.

48 Kwa kuwa ameutambua unyonge wa mtumishi wake. Tangu sasa vizazi vyote wataniita niliyebarikiwa.

49 Kwa maana, yeye Mwenye Uwezo, amenitendea mambo ya ajabu! Jina lake ni taka tifu.

50 Rehema zake hudumu vizazi hata vizazi kwao wamchao.

51 Kwa mkono wake ametenda mambo makuu. Wenye kiburi mioyoni mwao amewatawanya.

52 Amewaangusha wafalme kutoka katika viti vyao vya enzi na kuwainua wanyonge.

53 Amewashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri na matajiri amewafukuza mikono mitupu.

54 Amemsaidia mtumishi wake Israeli, akiikumbuka rehema yake,

55 kama alivyowaahidi baba zetu Ibrahimu na uzao wake daima.”

56 Mariamu akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyum bani kwake.
Lakini katika biblia mzima hakuna sehemu anamuita Mariam mama yangu, bali anamuita MWANAMKE ama Mama BASI.
Hata bible inamuita Mariam mwanamke. Gal 4:4
Hata ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwanawe ambaye amezaliwa na MWANAMKE.

So, sioni ikiwa wanashida ama ni dhambi kufanya hivyo.
MARIAM katumika kama chombo tu na wala si mama wa Yesu.
 
Yesu ameameuita Mama several times unless husomi biblia
 
Anayestahili kuabudiwa ni mmoja tuu naye ni Mungu mwenye Enzi

Hao wengine wote wanaweza kupewa sifa kwa vile Mungu anavyowatumia lakini utukufu ni kwa Mungu mkuu Yesu Kristo

Maria anaheshimiwa sana na wakristo na waislamu pia. Sio mchezo maana ilichukua miaka mingi haswa tangu unabii wa kuzaliwa kwa Kristo hadi kupatikana kwa tumbo lililoweza kumbeba... haikuwa rahisi
Samahani Yesu ndie Mungu ?
 
Ingekuwa makanisa au watu wamejenga sanamu au wameweka picha ya Mwamposa ndani mwao ndio wanamfanyia ibada ningeongea kitu.

Ww mtoa mada huwa ukienda huko Church huwa unajihubiria mwenyew!? Huwa kuna mchungaji wenu huko mnamuita Padre sasa sjui huwa unaenda kumuabudu Padre au Mungu kama ni Mungu hao wanaoenda kwa Mwaposa huenda pia kuabudu Mungu huyo Mwamposa ni mtu tu kama alvo Padre.

Kuhusu Bikra Maria heshima yake ipo na anaheshimika kama Mama wa Yesu Kristo ni heshima gn nyingne unayotaka watu wa KKKT au ULOKOLE waitoe!?
Haitoshi. Elizabeth mwenyewe alijazwa na roho mtakatifu baada ya kutembelewa na bikra maria na akasema vizazi vyote watamuita mbarikiwa na akaongeza kuwa amebarikiwa yeye kuliko wanawake wote. Hivyo bikra maria should be gove more and apecial respect. Kama heshima tunampa kila mtu lakini Bikra maria sisi wakatoliki tunampa heshima zaidi ya hozo za watu kama.biblia inavyotuamlisha
 
USOME INJILI YA:

LUKA 1: 40-56

40 Baada ya siku chache, Mariamu aliharakisha kwenda mji mmoja katika milima ya Yudea. Akaingia nyumbani kwa Zakaria akamsalimu Elizabeti.

41 Naye aliposikia salaamu za Mariamu, mtoto aliyekuwa tumboni mwake aliruka. Elizabeti akajazwa na Roho Mtakatifu,

42 akasema kwa sauti kubwa: “Umebarikiwa wewe zaidi ya wanawake wengine wote, naye mtoto utakayemzaa amebari kiwa.

43 Sikustahili heshima hii ya kutembelewa na mama wa Bwana wangu!

44 Mara tu niliposikia salaamu zako, mtoto aliyeko tum boni mwangu aliruka kwa furaha.

45 Wewe umebarikiwa kwa kuwa uliamini kwamba Bwana atatimiza yale aliyokuambia.”

46 Mariamu akasema: “Namtukuza Bwana,

47 na roho yangu inamfurahia Mungu Mwokozi wangu.

48 Kwa kuwa ameutambua unyonge wa mtumishi wake. Tangu sasa vizazi vyote wataniita niliyebarikiwa.

49 Kwa maana, yeye Mwenye Uwezo, amenitendea mambo ya ajabu! Jina lake ni taka tifu.

50 Rehema zake hudumu vizazi hata vizazi kwao wamchao.

51 Kwa mkono wake ametenda mambo makuu. Wenye kiburi mioyoni mwao amewatawanya.

52 Amewaangusha wafalme kutoka katika viti vyao vya enzi na kuwainua wanyonge.

53 Amewashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri na matajiri amewafukuza mikono mitupu.

54 Amem saidia mtumishi wake Israeli, akiikumbuka rehema yake,

55 kama alivyowaahidi baba zetu Ibrahimu na uzao wake daima.”

56 Mar iamu akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyum bani kwake.
A Very nice comment yako na hapo ulipoweka wekundu ndo EXCELLENT kabisa.
Sasa anakuja mtu anamwita au anamlinganisha eti ni sawa na bahasha! What a fuc**.n insult!
 
Lakini katika biblia mzima hakuna sehemu anamuita Mariam mama yangu, bali anamuita MWANAMKE ama Mama BASI.
Hata bible inamuita Mariam mwanamke. Gal 4:4
Hata ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwanawe ambaye amezaliwa na MWANAMKE.

So, sioni ikiwa wanashida ama ni dhambi kufanya hivyo.
MARIAM katumika kama chombo tu na wala si mama wa Yesu.
Mama yake ni nani?
 
Relax mkuu, muujiza wa kwanza kabisa wa Yesu utakujibu hayo

Injili ya Yohana 2:1-10

Siku ya tatu kulikuwa na harusi katika mji wa Kana ulioko Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo 2 na Yesu pamoja na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa pia. 3 Divai ilipowaishia, mama yake Yesu alimwambia, “Hawana divai.” 4 Yesu akamjibu, “Mama, mbona unanihusisha kwenye jambo hili? Wakati wangu bado haujafika.” 5 Mama yake akawaambia watumishi, “Lo lote atakalowaambia, fanyeni. ” 6 Basi ilikuwapo hapo mitungi sita ya kuwekea maji ya kunawa, kufuatana na desturi ya Wayahudi ya kutawadha. Kila mtungi ungeweza kujazwa kwa madebe sita au saba ya maji. 7 Yesu akawaambia wale watumishi, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Wakaijaza mpaka juu. 8 Kisha akawaambia, “Sasa choteni maji kidogo mumpelekee mkuu wa sherehe.” Wakachota, wakampelekea. 9 Yule mkuu wa sherehe akayaonja yale maji ambayo yalikuwa yame geuka kuwa divai. Hakujua divai hiyo imetoka wapi ingawa wale watumishi waliochota yale maji walifahamu. Basi akamwita bwana harusi kando 10 akamwambia, “Watu wote huwapa wageni divai nzuri kwanza kisha wakianza kutosheka huwaletea divai hafifu.

Imekuwaje wewe ukaiweka divai nzuri mpaka sasa?”​

Jamii inaishi duniani
Jamii ina matatizo mengi
Jamii inatafuta sehemu ya kupata faraja au kutatuliwa matatizo yao.
 
Sasa mbona umepita mule mule kwa nilichokisema.
Mwanamke yoyote certain age Unaweza muita Mama bila kumaanisha Mama yako mzazi.

Ndiyo maana nikasema anamuita Maryam MAMA ama MWANAMKE.
Wewe unaweza muita Mama yako Mzazi "we mwanamke?" sasa Yesu alimuita hivyo Maryam.
Maryam hawezi kuwa Mama wa Yesu wakati Yesu ame exit kabla ya Maryam.
 
Haitoshi. Elizabeth mwenyewe alijazwa na roho mtakatifu baada ya kutembelewa na bikra maria na akasema vizazi vyote watamuita mbarikiwa na akaongeza kuwa amebarikiwa yeye kuliko wanawake wote. Hivyo bikra maria should be gove more and apecial respect. Kama heshima tunampa kila mtu lakini Bikra maria sisi wakatoliki tunampa heshima zaidi ya hozo za watu kama.biblia inavyotuamlisha
Sizani kama kuna dhehebu lolote la ukristo linafundisha kumpuuza na kutokumuheshimu Bikra Maria ispokuwa madhehebu yametofautiana namna yanavomchangamkia Bikra Maria tu ila heshima ya Bikra Maria iko palepale kwa kila dhehebu.
 
Sasa mbona umepita mule mule kwa nilichokisema.
Mwanamke yoyote certain age Unaweza muita Mama bila kumaanisha Mama yako mzazi.

Ndiyo maana nikasema anamuita Maryam MAMA ama MWANAMKE.
Wewe unaweza muita Mama yako Mzazi "we mwanamke?" sasa Yesu alimuita hivyo Maryam.
Maryam hawezi kuwa Mama wa Yesu wakati Yesu ame exit kabla ya Maryam.
Kwa hiyo yale yalikuwa maigizo aliyoyafanya yesu kuzaliwa na bikra maria?
 
Sasa mbona umepita mule mule kwa nilichokisema.
Mwanamke yoyote certain age Unaweza muita Mama bila kumaanisha Mama yako mzazi.

Ndiyo maana nikasema anamuita Maryam MAMA ama MWANAMKE.
Wewe unaweza muita Mama yako Mzazi "we mwanamke?" sasa Yesu alimuita hivyo Maryam.
Maryam hawezi kuwa Mama wa Yesu wakati Yesu ame exit kabla ya Maryam.
Sasa ndugu yangu unataka amwite mama yake kila saa, indeed ni mama yake, hana mama mwingine, sasa point yako nini nini? kwamba ni mama wa kubambikiwa?

Je unaweza ukamdharau mama wa mtu alafu huyo mtu akakupenda?

jiulize tu hilo swali kabla ya kuanza kuongea ongea vitu vya kijinga kuhusu mama wa Yesu

Huyo mama ameandikwa kwenye Quran mara nyingi zaidi na amepewa heshima kubwa sana

Mungu hana utani na wapendwa wake

Mastahili ya huyo mama ni makubwa kulika mwanamke mwingine yoyote duniani. Copy that,
 
Mleta mada tofauti mojawapo ya katoliki na madhehebu mengine ni kuwa wakatoliki huongea na maiti waliozikwa miaka awe Maria, Mitume nk kuwa wawaombee madhehebu mengine hayaombi maiti awaombee

Pili Mungu ni Roho tupu kamilifu kabisa kwa mujibu hata wa katekisimu ya kanisa Katoliki
Hakuna binadamu mwenye uwezo wa kubeba mimba ya roho na kuzaa roho
Maria alizaa Yesu mwili wa Yesu sio Roho

Kuita Maria ni Mama wa Mungu kama watu wanavyosali kwenye rozali sio sahihi ni kufuru.Binadamu hawezi kuzaa roho yaani Mungu ambaye ni Roho tupu isiyo na mwili
Mungu hana mama yake sababu Maria ni mwili mtupu wakati Mungu ni Roho tu
Kumwita Maria Mama wa Mungu ni kumfanya yeye mkuu kuliko Mungu mwenyewe.Lakini ukisema Maria mama yake Yesu haina shida mtoto kuwa mkuu kuliko wazazi kawaida tu
Mungu hana Mama yake na hatarajii kuwa na mama yake

wakatoliki kutwa kusali Maria mtakatifu mama wa Mungu utuombe ni kufuru
 
Samahani Yesu ndie Mungu ?
Ndio ni Mungu Katika Asili na Binadamu katika Asili ikiwa na maana kiumbe yeyote hubeba Asili kutoka kwa wazazi wake
Yesu pia Asili yake ni Mungu Moja kwa Moja maana hana biological father na ndio maana anaitwa Neno,
Hii ndio maana tangu kuzaliwa kwake mpaka anapaa alikua na Asili ya Utakatifu (Uungu)
Ndani yake kumbuka Mtakatifu pekee ni Mungu na sisi binadamu wa kawaida tuna Asili ya Dhambi kwa kosa la Adamu
Hivyo hiyo Moja kwa Moja inamfanya Yesu Kristo kua
Mwana wa Adam na vile vile ni Eternal Son of God!
 
Back
Top Bottom