Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Fanya kama inajikuna vile....Mmeshapagawa? Hizi ndiyo zile za kuku mnazoshikiwa?
Dhuluma tu halafu mnataka watulie. Safari hii mtataga sana. Mayai ya bata!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya kama inajikuna vile....Mmeshapagawa? Hizi ndiyo zile za kuku mnazoshikiwa?
Dhuluma tu halafu mnataka watulie. Safari hii mtataga sana. Mayai ya bata!
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa toka Lissu arudi nchini tabia ya mh Jiwe ilibadilika ghafla; akawa mpoleeeeee.Hata shetani alipomjaribu Yesu alitumia maandiko
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa toka Lissu arudi nchini tabia ya mh Jiwe ilibadilika ghafla; akawa mpoleeeeee.
Huyu jamaa atakuwa mpole zaidi akienda Bukoba kwa Wahaya kuomba kura!! Akidhania wamesahau matusi aliyowatukana baada ya tetemeko.
Ila ccm akili huwa zinaruka mara nyingine, et lijitu linakwambia tumeibiwa sana wakati nyinyi wenyewe ccm ndiwo mlikuwa mnasaini mikataba na mibovu na wakoloni haohao, misaada hampati toka kwa hao wakoloni basi mnawaita mabeberu.Siyo siri jiwe Kagera wanamsubiri kwa hamu.
Kuna barabara huko wakimkumbuka udenda unawatoka:
Lissu tembelea Rusahunga - Rusumo haraka iwezekanavyo