Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Aug 31, 2020 #21 brazaj said: Mmeshapagawa? Hizi ndiyo zile za kuku mnazoshikiwa? Dhuluma tu halafu mnataka watulie. Safari hii mtataga sana. Mayai ya bata! Click to expand... Fanya kama inajikuna vile....
brazaj said: Mmeshapagawa? Hizi ndiyo zile za kuku mnazoshikiwa? Dhuluma tu halafu mnataka watulie. Safari hii mtataga sana. Mayai ya bata! Click to expand... Fanya kama inajikuna vile....
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Aug 31, 2020 #22 Msanii said: Hata shetani alipomjaribu Yesu alitumia maandiko Click to expand... Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa toka Lissu arudi nchini tabia ya mh Jiwe ilibadilika ghafla; akawa mpoleeeeee. Huyu jamaa atakuwa mpole zaidi akienda Bukoba kwa Wahaya kuomba kura!! Akidhania wamesahau matusi aliyowatukana baada ya tetemeko.
Msanii said: Hata shetani alipomjaribu Yesu alitumia maandiko Click to expand... Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa toka Lissu arudi nchini tabia ya mh Jiwe ilibadilika ghafla; akawa mpoleeeeee. Huyu jamaa atakuwa mpole zaidi akienda Bukoba kwa Wahaya kuomba kura!! Akidhania wamesahau matusi aliyowatukana baada ya tetemeko.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Aug 31, 2020 Thread starter #23 Kipangaspecial said: Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa toka Lissu arudi nchini tabia ya mh Jiwe ilibadilika ghafla; akawa mpoleeeeee. Huyu jamaa atakuwa mpole zaidi akienda Bukoba kwa Wahaya kuomba kura!! Akidhania wamesahau matusi aliyowatukana baada ya tetemeko. Click to expand... Siyo siri jiwe Kagera wanamsubiri kwa hamu. Kuna barabara huko wakimkumbuka udenda unawatoka: Lissu tembelea Rusahunga - Rusumo haraka iwezekanavyo
Kipangaspecial said: Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa toka Lissu arudi nchini tabia ya mh Jiwe ilibadilika ghafla; akawa mpoleeeeee. Huyu jamaa atakuwa mpole zaidi akienda Bukoba kwa Wahaya kuomba kura!! Akidhania wamesahau matusi aliyowatukana baada ya tetemeko. Click to expand... Siyo siri jiwe Kagera wanamsubiri kwa hamu. Kuna barabara huko wakimkumbuka udenda unawatoka: Lissu tembelea Rusahunga - Rusumo haraka iwezekanavyo
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Aug 31, 2020 #24 brazaj said: Siyo siri jiwe Kagera wanamsubiri kwa hamu. Kuna barabara huko wakimkumbuka udenda unawatoka: Lissu tembelea Rusahunga - Rusumo haraka iwezekanavyo Click to expand... Ila ccm akili huwa zinaruka mara nyingine, et lijitu linakwambia tumeibiwa sana wakati nyinyi wenyewe ccm ndiwo mlikuwa mnasaini mikataba na mibovu na wakoloni haohao, misaada hampati toka kwa hao wakoloni basi mnawaita mabeberu.
brazaj said: Siyo siri jiwe Kagera wanamsubiri kwa hamu. Kuna barabara huko wakimkumbuka udenda unawatoka: Lissu tembelea Rusahunga - Rusumo haraka iwezekanavyo Click to expand... Ila ccm akili huwa zinaruka mara nyingine, et lijitu linakwambia tumeibiwa sana wakati nyinyi wenyewe ccm ndiwo mlikuwa mnasaini mikataba na mibovu na wakoloni haohao, misaada hampati toka kwa hao wakoloni basi mnawaita mabeberu.