Maajabu ya Cheetah Mnyama anayekwenda kwa kasi zaidi kuliko wanyama wote wa porini

Hapo kwenue "Duma ndo Cheetah" sijaelewa.naomba ufafanuzi na picha ikibidi
 
Ndege aitwae falcon peregrin naskia ndie anayekimbia kuliko wote porini

Sent from my iPhone using JamiiForums

Yeah ni kweli ana diving speed ya zaid ya 340km/hr

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umechanganya Tiger ndo wako Asia
Jaguar wako america

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mnyama ndiye anayeongoza kwa uwindaji porini,huwa anakula myama anayemtaka huwa anachagua kwenye kundi na humkimbikiza hadi atakapomkanata
 
Huyo mnyama ndiye anayeongoza kwa uwindaji porini,huwa anakula myama anayemtaka huwa anachagua kwenye kundi na humkimbikiza hadi atakapomkanata

Hapo itakuwa unamuongelea Simba, Duma hapendi kujichosha sana ndio maana hata mleta uzi amelibainisha hilo kuwa cheetah hakimbizi windo lake zaidi ya mita 300.

Sent from my iPhone using Tapatalk Pro
 
Mbona nahisi wewe ndie uliyekurupuka kumkosoa mwenzako? Pelegrine Falcon yupo class ipi ya wanyama? Sio ndege?

Sent from my iPhone using Tapatalk Pro
Sorry unajuwa bado sijajua kutumia vuzuri huu mtandao, nilitaka kuongeza picha ya nde ivi sasa nikagundua picha hijafika ndipo nijaona repy yangu niifute, pia hata hivyo sina uhakika kama nimefuta yangu tu ama na ile nilokuwa naireply
 
Ni
Hapo itakuwa unamuongelea Simba, Duma hapendi kujichosha sana ndio maana hata mleta uzi amelibainisha hilo kuwa cheetah hakimbizi windo lake zaidi ya mita 300.

Sent from my iPhone using Tapatalk Pro
Ni cheeter naongelea mkuu ndio huwa anakimbiza mnyama kwa muda mrefu tofauti na simba,simba huwa anavizia na kukamata na sio kufukuza kama duma,hapo aliposema huwa hakimbizi zaidi ya mita 300 sjaelewa mwandishi alimaanisha nini,mimi kwa nimjuavyo huyu mnyama ni noma sana porini ana uwezo wa kukimbia siku nzima bila kupumzika
 
Ni kweli kipanga ndiyo anaongoza, watu wenye akili tukikaa kimya uongo huu utaaminika
Nadhani kosa ni wadau kutokufafanua,ingesemwa “ndiye mnyama wa ardhini mwenye speed kuliko wote”,huyu ndege akajulikana mnyama mwenye speed kuliko wote wanaoruka.

Pia imekuwa ikisemwa nyoka aina ya Black Mamba naye ana mbio kali pale so shida ni ufafanuzi tu hakuna uwongo wowote hapo.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
.......................Mkuu siku nzima anakimbiza nini bro...analipwa ndo useme anakimbilia sifa?hakuna mnyama fala atakimbiza windo lake kwa lot of kilometers wakati humo porini wapo wengine kwa ajili yake.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Hapana wewe ndie hujataka tuu kuelewa au umeelewa ila hujataka kukiri kwamba umekosea. Au labda utusaidie mnyama arukae mwingine ni yupi tofauti na popo

Sent from my iPhone using Tapatalk Pro
 
Hapana wewe ndie hujataka tuu kuelewa au umeelewa ila hujataka kukiri kwamba umekosea. Au labda utusaidie mnyama arukae mwingine ni yupi tofauti na popo

Sent from my iPhone using Tapatalk Pro
Mkuu privacy

Usisome kutafuta kumkosoa mtu soma uelewe,rudia post yangu paragraph ya kwanza nimefafanua vizuri kwamba Cheetah ajulikane kama ndiye mnyama wa ardhini mwenye speed kuliko wote na huyu ndege falcon peregrine ajulikane kama ndege anayeruka mwenye speed kuliko wote.

Ni vichekesho Great Thinkers kubishana hapa uwezo wa wanyama ambao wanajulikana wazi kabisa wapo category tofauti.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…