Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Hapo kwenue "Duma ndo Cheetah" sijaelewa.naomba ufafanuzi na picha ikibidiDuma ndo cheetah, Leopard ni chui , Jaguar hawa wanapatikana Sana Asia na ni wakubwa kuliko chui, Tiger hawa wanapatikana Sana America , ni wakubwa kuliko jaguar na madoa makubwa ya njano na ni wanene , wote ni jamii ya paka, katika wote hao muoga ni Duma