Maajabu ya Club ya Simba kutumia milioni 823 kusajili wachezaji waliofunga magoli mawili kwa msimu mzima

Maajabu ya Club ya Simba kutumia milioni 823 kusajili wachezaji waliofunga magoli mawili kwa msimu mzima

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Lionel Christian Ateba πŸ‡¨πŸ‡²

β—‰ 02 - Years deal (Tsh 523 million)
β—‰ 16 - Games premier league 23 | 24
β—‰ 01 - Goal scored.
β—‰ 03 - Assist

Kibu Denis Prosper πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

β—‰ 02 - Years deal (Tsh 300 million)
β—‰ 26 - Games premier league 23 | 24
β—‰ 01 - Goal scored.
β—‰ 02 - Assists

ℹ️ Value for money iko sawa?

FB_IMG_17235740065308448.jpg
FB_IMG_17235740101109232.jpg
 
Lionel Christian Ateba πŸ‡¨πŸ‡²

β—‰ 02 - Years deal (Tsh 523 million)
β—‰ 16 - Games premier league 23 | 24
β—‰ 01 - Goal scored.
β—‰ 03 - Assist

Kibu Denis Prosper πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

β—‰ 02 - Years deal (Tsh 300 million)
β—‰ 26 - Games premier league 23 | 24
β—‰ 01 - Goal scored.
β—‰ 02 - Assists

ℹ️ Value for money iko sawa ?!
Pesa ni zako?? Walikuomba uwasaidie au ndio umbea matope
 
Lionel Christian Ateba πŸ‡¨πŸ‡²

β—‰ 02 - Years deal (Tsh 523 million)
β—‰ 16 - Games premier league 23 | 24
β—‰ 01 - Goal scored.
β—‰ 03 - Assist

Kibu Denis Prosper πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

β—‰ 02 - Years deal (Tsh 300 million)
β—‰ 26 - Games premier league 23 | 24
β—‰ 01 - Goal scored.
β—‰ 02 - Assists

ℹ️ Value for money iko sawa ?!
Nafikiri usajili huo ndio unafaa.
 
Simba haijawahi kuwa na Scout nzuri. Wachezaji wengi wa kigeni walioipa mafanikio walikua ni matokeo ya Scout ya Yanga. Kuanzia Chama, Lary Bwalya, Meddie Kagere na wengine..

Cha kushukuru kipindi kile Yanga iliterereka kiuchumi. Yanga anatafuta mchezaji Simba anatega uwanja wa ndege.
 
Simba itakaa sawa baada ya mechi tano au sita, huyo Mukwala mnayedhani sio striker atawanyamazisha muda c mrefu.

Kama wewe umekuja kwenye football kama Baba levo au Mwijaku tafadhali jitoe mapema tuachie wenye Simba yetu.
 
Simba haijawahi kuwa na Scout nzuri. Wachezaji wengi wa kigeni walioipa mafanikio walikua ni matokeo ya Scout ya Yanga. Kuanzia Chama, Lary Bwalya, Meddie Kagere na wengine..

Cha kushukuru kipindi kile Yanga iliterereka kiuchumi. Yanga anatafuta mchezaji Simba anatega uwanja wa ndege.

Vice versa is true.

Japo kuna anguko kubwa sasa, ila Yanga mara nyingi hufuata baada ya Simba.

Zao la Scout ya Simba pale Yanga:

1. Aziz Ki
2. Yao Yao
3. Max
4. Chama
5. Baleke
....

Huyu Ngoma ndio wa kwenu, tunaomba mje mchukue
 
Yanga walimfata Chama kabla ya Simba kipindi anacheza kwao Zambia. Aziz Ki aliweka wazi kabisa Yanga walianza kumfuata baada ya ile mechi ya Dar.

Hao wengine siwezi kuwaongelea. Japo kwa Baleke unaprove kuwa Scout ya Yanga iko makini maana waliona uwezo wake kipindi yupo Simba.
 
Back
Top Bottom