Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia

Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa wakombozi wa taifa letu, Mkombozi wa kweli wa taifa letu kwenye hii vita ya Corona ni Bingwa wa Kemia, ndiye ametoa ushauri bora kabisa wa Kikemia wa namna bora ya kuikabiliana na janga hili la Corona ili kushinda vita hii.

Je, bingwa huyu wa Kemia ni nani na ametoa ushauri gani?
Andamana nami.
1. Background, Professionalism
Tangu kuanza kwa janga hili la Corona, mimi kama Mtanzania mzalendo wa kawaida kabisa nimeshiriki kikamilifu katika vita hii katika maeneo 5
  1. Kama Mtanzania tuu wa kawaida
  2. Kama Mwana jf kwa kuposti mabandiko elimishi.
  3. Kama mwandishi wa habari mzoefu kuandika habari kulisaidia taifa kwa uzoefu wangu.
  4. Kama mtangazaji wa nguli wa TV kupitia a weekly program yangu ambayo huwa live
  5. Kama mtu mwenye exposure, kuitumia exposure yangu kumulikia wengine.
Hivyo kwenye hayo maeneo 5 nimeshiriki kwa kutoa maoni mbalimbali, miongoni mwake ni ule ushauri wangu wa mwanzo kuwa zipo wizara zinaweza kuongozwa na Waziri mwanasiasa yoyote, lakini kuna wizara zinazo deal na serious technical issues, zinapaswa kuongozwa na mawaziri ma professionals wa fani husika. Moja ya wizara hizi ni Wizara ya Afya, hii inadeal na Afya na uhai wa Mtanzania, ilipaswa kuongozwa na daktari bingwa na sio a layman kwenye medical field!.

Tulipoanza tuu vita hii ile siku Waziri wa Afya akitangaza rasmi janga la Corona huku akiwa ameandamana na daktari Bingwa wa epidemiology kwa jina la Janet akizungumzia kuvaa face mask, daktari huyo akiwa mbele ya Waziri wa Afya alisema face mask zitavaliwa na madaktari tuu wanaohudumia wagonjwa. Nikapandisha bandiko humu na kusema it's not right kwasababu kama inachukua siku 14 kuibaini Corona kwa aliyeambukizwa, how will one knows hivyo to be on a safe side ni watu wote wavae facemasks kama China. Waziri angekuwa daktari pale pale angejua.
Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best! - JamiiForums

2. Mazungumzo na Naibu Waziri wa Afya
Kuna siku nimezungumza na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile, kama ilivyo kawaida yangu, mimi huwa nina maswali magumu. Miongoni mwa maswali niliyomuuliza Dr. Ndugulile ni swali la kwa vile Corona haina dawa, jee anaweza kueleza hao wagonjwa kwenye vituo vya matibabu wanafanywa nini au wana hudumiwa huduma gani ili Watanzania wenye uwezo waweze kuwahudumia wagonjwa wao ambao hawajazidiwa ili kuzuia hospitali zisielemewe. Dr. Alinigomea!.

Kisha nikamuuliza kwa vile Corona ni mafua, kwanini Wizara ya Afya isihamasishe alternative medicine ya watu kujitibu ili wengine wamalizane nayo juu kwa juu bila kuisumbua serikali na kupelekwa vituo vya huduma?.

Pia swali hili alinigomea na kusisitiza kila mwenye dalili aripotiwe.

Kwa kutumia uzoefu wangu wa exposure, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile alikuwa ana majibu yote tena ya kidakitari, lakini kwa vile yeye sio Msemaji rasmi, Msemaji rasmi ni Waziri wake, na Waziri sio daktari, Dr. Ndugulile aliogopa kusema akapishana na Waziri wake, lakini Waziri wa Afya angekuwa ni daktari Bingwa, Dr. Ndugulile angezungumza.
Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV - JamiiForums
Star TV: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Wazuri wa Afya Dr. Faustine Ndungulile, Wanazungumzia Corona - JamiiForums

3. Bingwa wa Kemia Aingilia Kati
Hayo maswali mawili magumu niliyo muuliza Naibu Waziri wa Afya Dr. Faustine Ndugulile ambayo yalitakiwa kujibiwa na madaktari Bingwa wa tiba, leo yamepatiwa majibu badala ya kupatiwa majibu na madaktari Bingwa wa tiba, kitu cha ajabu sana kuhusu mapambano dhidi ya janga la Corona nchini Tanzania, maswali hayo yamepatiwa majibu na Bingwa wa Kemia.

Tanzania tulizoea viongozi wetu wakuu wa kisiasa huwa ni wanasiasa, hivyo ulipo tokea Bingwa wa Kemia alipoutaka urais, kiukweli kuna watu humu tulimshangaa!, tangu lini Bingwa wa Kemia akawa kiongozi wa siasa kuwa mkuu wa nchi?.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

4. Bingwa wa Kemia ametoa ushauri wa Kikemia kuwa vurusi vimeumbwa kwa cells za protein in nature na kuzungukwa fatty acid hivyo vinayeyushwa au kwa kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka au sanitizers ambazo kikemia ni alcohol ambazo zinawayeyusha kwa kuyasaga mafuta au mvuke wa nyuzi joto kubwa una destroy protein in nature inakuwa destroyed by heat.

Bingwa wa Kemia amewataka Watanzania kuendelea kufuata maelekezo ya kitaalamu ya kuzuia kuenea kwa virusi vya Corona ila pia na kutumia tiba mbalimbali za asili na tiba mbadala kupambana na Corona kwa kunywa tangawizi, vitunguu swaumu, au hata kujifukiza, vitu ambavyo Watanzania walipaswa kufundishwa na madaktari Bingwa wa tiba, badala yake sasa ni Bingwa wa Kemia ndio amekuwa mkombozi wa taifa letu katika vita hii dhidi ya Corona.

Ushauri huu wa Bingwa wa Kemia ndio ukombozi wa Taifa letu dhidi ya janga la Corona, kwasababu naamini kuna wengi wameugua Corona na wakajitibia kwa njia za asili na tiba mbadala na wakapona, hivyo kama kila Mtanzania akiona tuu dalili kwa mbali akaanza na huduma ya kwanza ya homeopathy treatment kwa kutumia natural remedies na treatments na alternative medicine tunaweza kuliokoa taifa letu zaidi kuliko kuwategemea hawa madaktari Bingwa wetu wa tiba za kisasa mahospitalini ambao ni mabubu huku mabingwa wa Kemia ndio akilisaidia taifa!.

Mpaka hapa nilipofikia, je bado kuna haja ya mimi kumtaja huyu bingwa wa Kemia?. Kwa vile huu ni mwaka wa uchaguzi, na tayari tuna mabingwa miongoni mwetu, nashauri wakati muafaka ukifiki wa kufanya maamuzi, usijiulize, twende na timu gani zaidi ya kwenda na timu ya mabingwa!,

Asanteni

Paskali
 
Wanabodi,

Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba!, kuwa wakombozi wa taifa letu, Mkombozi wa kweli wa taifa letu kwenye hii vita ya Corona ni Bingwa wa Kemia, ndiye ametoa ushauri bora kabisa wa Kikemia wa namna bora ya kuikabiliana na janga hili la Corona ili kushinda vita hii.

Jee bingwa huyu wa Kemia ni nani na ametoa ushauri gani?.
Andamana nami...

Karibu.

Paskali
Hivi si ajiteue tu waziri wa afya ili awe anafanya yale yanayomridhisha? Kama vyombo vya kimataifa vimechukua ile hotuba duh!
 
Kwamba uchemshe pua na maji C 100

Hii hotuba Dah nimefikiria mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah wewe na Pascal Mayalla Mayalla mtatuponza hizi comment zenu.
Kama hapo kwenye kuvukiza nilimsikiliza mkuu sana nikashituka pale aliposema yule virus atapasuka tu hawezi kuhimili 100 Degrees Centigrade, nikasema hivi nani anaweza kuvumilia kupigwa na mvuke wa nyuzi hizo za joto asiungue usoni?

Mkuu sana alitakiwa asome script tu, kila akijaribu freestyle a.k.a 'acapella' huwa anatoka nje ya note.
 
Brother PM, mbona mkorofi? Tambua kuwa wengi wanakusikiliza kauli zako. Leo umekuwa kituko. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanabodi,

Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa wakombozi wa taifa letu, Mkombozi wa kweli wa taifa letu kwenye hii vita ya Corona ni Bingwa wa Kemia, ndiye ametoa ushauri bora kabisa wa Kikemia wa namna bora ya kuikabiliana na janga hili la Corona ili kushinda vita hii.

Je, bingwa huyu wa Kemia ni nani na ametoa ushauri gani?
Andamana nami.

Karibu.

Paskali
 
Wanabodi,

Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba!, kuwa wakombozi wa taifa letu, Mkombozi wa kweli wa taifa letu kwenye hii vita ya Corona ni Bingwa wa Kemia, ndiye ametoa ushauri bora kabisa wa Kikemia wa namna bora ya kuikabiliana na janga hili la Corona ili kushinda vita hii.

Jee bingwa huyu wa Kemia ni nani na ametoa ushauri gani?.
Andamana nami...

Karibu.

Paskali
Watu wanaangamia kwakukosa maarfa hii mkuu unanikumbusha. Wakati Niko Mdogo baba yangu akiwa hana hela hasa kipindi cha mwezi Wa tatu mpaka Wa sita ukiumwa kichwa yanachomwa mavi ya ngombe unanusa mwoshi wake unaambiwa ndiyo Dawa ya kichwa kumbe ni hela ya aspirini baba hana sasa na mkemia mkuu lazima aje na chemical mbadala kwakuwa ni kama alivyokuwa anatumia babangu Mungu atunusuru na hili
 
Wanabodi,

Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa wakombozi wa taifa letu, Mkombozi wa kweli wa taifa letu kwenye hii vita ya Corona ni Bingwa wa Kemia, ndiye ametoa ushauri bora kabisa wa Kikemia wa namna bora ya kuikabiliana na janga hili la Corona ili kushinda vita hii.

Je, bingwa huyu wa Kemia ni nani na ametoa ushauri gani?
Andamana nami.

Karibu.

Paskali
Naungana na wewe Bingwa wa Kemia amesisitiza watu wajifukize kwa mwaroabaini na tangawizi kuua vidudu vya korona....Famigation waliofanya DSM ni upuuzi maana ile ni chlorine haina uwezo wa kuua virus na inawezekana ile famigation ndio iliyosababisha kuongezeka kwa wagonjwa wa vovid19 bingwa wa kemia amewaomba wanausalama wafanye uchunguzi kuhusu ile famigation.
 
Back
Top Bottom