Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia

Paskali bleach ambayo jina lake ni Sodium hypochlorite contains chlorine and this chemical under specific ratios is recommended to kill virus including Corona virus.Nadhani ukisikia walitumia chlorine walikuwa wanamaanisha compound which contains chlorine. Material Safety Data Sheet yaani MSDS ina maelezo ya kina.
Toka Corona ipige hodi KIA wanafanya fumigation kwa mazao ya maua na matunda yanayopelekwa Europe wao wakiita decontamination. Kwa hiyo KIA wanakosea na Ethiopian Airlines wanakosea?

Nimesikia Raisi Magufuli akiwa na hofu ya misaada ya mask zitokazo nje kuwa zinaweza kuwa na virusi
Ili kuondoa wasi wasi anatakiwa kuzifanyia decontamination kabla ya kuzipeleka sokoni, hili ni jukumu la mkemia mkuu kulinda watumiaji.

Kama nimemsikia vizuri Raisi Magufuli kumfukiza mgonjwa kutumia mvuke kwa degree 100 C plus.yaani 100 na zaidi.
Kama ni zao la maji imevuka mvuke wa kawaida imeishakuwa super steam
Kwa maelezo ya WHO kuvuta hewa au mvuke wenye joto kubwa zaidi ya 37 C ya kawaida utaharibu mapafu.
Kufukiza linataka kupata ushauri kutoka kwa waganga wajadi au watu wazima wanaoelewa kazi hiyo.Its not a matter of try and error kama tunavyopalamba kwenye mask.

Mwisho Paskali kama upo karibu na Raisi Magufuli mshauri kama hana hofu awe mstali wa mbele atembelee Hospitali na mortuary na caranteen centers za wagonjwa wa Covid-19 kama alichofanya Raisi Putin wa Urusi.
Ndipo atapata picha halisi ya tatizo,sio mambo ya kumwambia tu.
 
Habari JF!
Kifupi naona dunia imeshindwa kutupa dawa ya Corona kwa ubinafsi wao, wakadhani kwamba Afrika hakuna wataalam wabobevu wa tiba.

Kabla ya Corona kuingia Tanzania niliandika uzi kutaka Rais akutane na waganga wa jadi na viongozi wa dini, hawa wazee ndio wametunza siri kubwa za tamaduni zetu jinsi tulivyokuwa tunakabiliana na magonjwa kabla hata ya mkoloni kuja Africa.

Kwa maelezo akiyoyatoa Rais jana, inaonyesha sasa yupo hatua chache kugundua dawa ya Corona kama atawaita wazee wa tiba asili na waganga wa jadi na wazee wa vikombe kama mzee Mwansapile Ambilikile na watu kama hao na kubadilishana nao mawazo.

Nasikia huko Madagascar wao wametuwahi wapo mbele wameshagundua dawa ila kama tunavyojua fitina za wazungu lazima waipinge hii dawa kama wale waliopinga barakoa za kushona yote ni kulinda masilahi yao na kutufanya ss mtaji wao,waendelee kutuuzia mavifaa (ventilators),barakoa na sanitizer n.k.
 


Coronavirus: the miracle remedy touted by Madagascar’s Rajoelina


Hatokuwa Rais wa kwanza, wa Madagascar kaisha muwahi
 
Kabla hajagundua dawa nchi zote ikiwemo Marekani watamuiga kwa kuondoa lockdown wakati maambukizi na vifo bado vikiendelea. Ila chinichini watakuwa wanabweka kwamba Tz haikuchukua hatua.
 
Dawa ipi? Hiyo ya kufukiza? Nani alikuwa haijui? Mtu wa kwanza kuisema hiyo si mwarabu wa Oman! Wewe una mihemuko tu. Au haufuatilii dunia inavyokwenda. Hakuna jipya hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ugunduzi wa tiba wala hauhitaji hata uwe na akili kubwa! Kama muda mfupi hivi tumekwishagundua tiba ya Coronavirus, mwaka ukiisha huenda tukapata ya kuwafufua walioaga Dunia.

Afrika siyo mchezo. Naambiwa huko Gamboshi mpaka wana ndege zao ambazo hazitumii hata mafuta. Bado kidogo Dunia nzima itapiga magoti kwa Afrika maana naambiwa Waafrika wana uwezo wa kusafiri usiku mmoja toka Kigoma mpaka Tanga na kurudi.

Hata hii Rais wetu kuomba tusamehewe madeni, nadhani ni geresha tu. Tukiamua kuwatumia wataalam wetu, dola zote za kwenye mabank ya Ulaya, unaweza kuamka ukakuta zimehamia BOT, halafu tukawalipa madeni yao yote mara moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa
Watu wanaowezo mpk wa kutengeneza ukimwi au radi naukatumiwa vikakupata hachana na Afrika kabisa ndio maana likaitwa bara giza !
 
duh! huu ugoro wako tutolee tafadhali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa ipi? Hiyo ya kufukiza? Nani alikuwa haijui? Mtu wa kwanza kuisema hiyo si mwarabu wa Oman! Wewe una mihemuko tu. Au haufuatilii dunia inavyokwenda. Hakuna jipya hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo mwarabu wa omani ni mzaliwa wa Nzega, mafushoo ni utamaduni wetu wa tiba siku nyingi sana, hiyo ya hapo juu si Myarwanda ni Mganda na hiyo ndiyo imesababisha mpaka sasa waganda hajafa mgojwa wa covid19, kwa wale wa kanda ya ziwa ndo tiba yetu, tunaweza tukaiwekea hati miliki kabla Trump hajasema ameigundua na kuipaka rangi kama yake, bora Mseveni hajampa fomulae.
 
Kwenye ugunduzi wake asimsahau mzee wa AMFIFIRO aka BISHOP GWAJIMA wanaeza tengeneza hata ya ukimwi

#Stayhome safe COVID-19 is everywhere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…