sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Paskali bleach ambayo jina lake ni Sodium hypochlorite contains chlorine and this chemical under specific ratios is recommended to kill virus including Corona virus.Nadhani ukisikia walitumia chlorine walikuwa wanamaanisha compound which contains chlorine. Material Safety Data Sheet yaani MSDS ina maelezo ya kina.
Toka Corona ipige hodi KIA wanafanya fumigation kwa mazao ya maua na matunda yanayopelekwa Europe wao wakiita decontamination. Kwa hiyo KIA wanakosea na Ethiopian Airlines wanakosea?
Nimesikia Raisi Magufuli akiwa na hofu ya misaada ya mask zitokazo nje kuwa zinaweza kuwa na virusi
Ili kuondoa wasi wasi anatakiwa kuzifanyia decontamination kabla ya kuzipeleka sokoni, hili ni jukumu la mkemia mkuu kulinda watumiaji.
Kama nimemsikia vizuri Raisi Magufuli kumfukiza mgonjwa kutumia mvuke kwa degree 100 C plus.yaani 100 na zaidi.
Kama ni zao la maji imevuka mvuke wa kawaida imeishakuwa super steam
Kwa maelezo ya WHO kuvuta hewa au mvuke wenye joto kubwa zaidi ya 37 C ya kawaida utaharibu mapafu.
Kufukiza linataka kupata ushauri kutoka kwa waganga wajadi au watu wazima wanaoelewa kazi hiyo.Its not a matter of try and error kama tunavyopalamba kwenye mask.
Mwisho Paskali kama upo karibu na Raisi Magufuli mshauri kama hana hofu awe mstali wa mbele atembelee Hospitali na mortuary na caranteen centers za wagonjwa wa Covid-19 kama alichofanya Raisi Putin wa Urusi.
Ndipo atapata picha halisi ya tatizo,sio mambo ya kumwambia tu.