Yaani nimekasikia hamna kitu sema IGP kaambiwa afuatilie social media. Uwe makini kwenye magroup na hapa JF. Max akibanwa naniluuuuu lazima atoe information zetu.Mremboo naamin kahotuba kutoka chattle umekasikia vyema kabisa
Sasa kama bunge zima wanapuliziwa dawa ya kuuwa virusi vya Corona wakati dawa bado haijagunduliwa wewe huoni maajabu hapo?Wanabodi,
Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa wakombozi wa taifa letu, Mkombozi wa kweli wa taifa letu kwenye hii vita ya Corona ni Bingwa wa Kemia, ndiye ametoa ushauri bora kabisa wa Kikemia wa namna bora ya kuikabiliana na janga hili la Corona ili kushinda vita hii.
Je, bingwa huyu wa Kemia ni nani na ametoa ushauri gani?
Andamana nami.
Karibu.
Paskali
Hee..kayasema haya kituo gani cha habari🤣Kwamba uchemshe pua na maji C 100
Hii hotuba Dah nimefikiria mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasahau alituambia Tanzania ni nchi tajiri. Leo analia tufutiwe madeni. Watu wasikae karantine kisa hakuna pesa za kuwahudumia.Watu wanaangamia kwakukosa maarfa hii mkuu unanikumbusha. Wakati Niko Mdogo baba yangu akiwa hana hela hasa kipindi cha mwezi Wa tatu mpaka Wa sita ukiumwa kichwa yanachomwa mavi ya ngombe unanusa mwoshi wake unaambiwa ndiyo Dawa ya kichwa kumbe ni hela ya aspirini baba hana sasa na mkemia mkuu lazima aje na chemical mbadala kwakuwa ni kama alivyokuwa anatumia babangu Mungu atunusuru na hili
Daah wewe na paschal Mayalla mtatuponza hizi comment zenu.
Kama hapo kwenye kuvukiza nilimsikiliza mkuu sana nikashituka pale aliposema yule virus atapasuka tu hawezi kuhimili 100 Degrees Centigrade, nikasema hivi nani anaweza kuvumilia kupigwa na mvuke wa nyuzi hizo za joto asiungue usoni?
Mkuu sana alitakiwa asome script tu, kila akijaribu freestyle a.k.a 'acapella' huwa anatoka nje ya note.
Hujamuelewa!Ameharibu kusema masks za kushona zinafaa..
Masks sahihi ndo zinafaa
Ndio Raha ya mtu kuingia darasani,ukiona mtoto wa masikini kafika top level jua anaweza(nitamchagua Tena mkemia),hakurupuki,anasynthesize data,reasoning,conclusion,baba magu shikamooooo,Wanabodi,
Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa wakombozi wa taifa letu, Mkombozi wa kweli wa taifa letu kwenye hii vita ya Corona ni Bingwa wa Kemia, ndiye ametoa ushauri bora kabisa wa Kikemia wa namna bora ya kuikabiliana na janga hili la Corona ili kushinda vita hii.
Je, bingwa huyu wa Kemia ni nani na ametoa ushauri gani?
Andamana nami.
Karibu.
Paskali
Donar country tutembee kifuwa wazi tuko vizuri ila mkuu nasikitika corona imemwondoa dada yangu ila machungu yapo pale wanapomzika waoKasahau alituambia Tanzania ni nchi tajiri. Leo analia tufutiwe madeni. Watu wasikae karantine kisa hakuna pesa za kuwahudumia.
Wote tumesikiliza hiyo hotuba, kasema pamoja na njia zinazoshauriwa na watalamu lkn pia tutumie njia za asili ikiwemo hiyo kujifukizaHahahhahah!
Kwanza, Bingwa wa kemia lengo lake kubwa ni mapato hajali kuhusu COVID-19.Tupambane na hali zetu wakuu.
Pili, amewadharau sana Madaktari bingwa na kada zao kwa ujumla kwa sababu hafuati ushauri wao. Lengo la kuwa Daktari bingwa ni nini? hivi mnaweza kuchukua hata dakika moja kuwaza ni jinsi gani huyu mkemia mkuu anawadharau na kuwadogoshya?
Tatu, jambo la afya ni juu yako na linakuhusu wewe tu mwanaJF na familia yako. Ukisubiri serikali/ mwanakemia mkuu ndiyo akupe mbinu za kujikinga na Korona utapotea mapema na haraka sana.
Mimi nampongeza sana kwa kutupa maarifa ambayo yamefichwa na watu wasiotutakia mema, atatuvusha salama kwenye hiliYaani nimekasikia hamna kitu sema IGP kaambiwa afuatilie social media. Uwe makini kwenye magroup na hapa JF. Max akibanwa naniluuuuu lazima atoe information zetu.