Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa alipaswa abaki huko mashuleni awe anafundisha kemiaBingwa wa Kemia anawahutubia wakuu wa vyombo vya ulinzi Juu ya hali ya Ugonjwa wa Ki Biolojia. Heko JPM
Sent using Jamii Forums mobile app
Hee! Paskali!Wanabodi,
Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa wakombozi wa taifa letu, Mkombozi wa kweli wa taifa letu kwenye hii vita ya Corona ni Bingwa wa Kemia, ndiye ametoa ushauri bora kabisa wa Kikemia wa namna bora ya kuikabiliana na janga hili la Corona ili kushinda vita hii.
Je, bingwa huyu wa Kemia ni nani na ametoa ushauri gani?
Andamana nami.
1. Background, Professionalism
Tangu kuanza kwa janga hili la Corona, mimi kama Mtanzania Mzalendo nimeshiriki kikamilifu katika vita hii kikamilifu katika maeneo 5
Hivyo kwenye hayo maendeleo 5 nimeshiri kwa kutoa maoni mbalimbali, miongoni mwake ni ule ushauri wangu wa mwanzo kuwa zipo wizara zinaweza kuongozwa na Waziri mwanasiasa yoyote, lakini kuna wizara zinazo deal na technical issues, zinapaswa kuongozwa na ma professionals. Moja ya wizara ya Afya, ilipaswa kuongozwa na daktari bingwa na sio a layman kwenye medical field.
- Kama Mtanzania tuu wa kawaida
- Kama Mwana jf
- Kama mwandishi wa habari mzoefu
- Kama mtangazaji wa TV Nguli
- Kama mtu mwenye exposure.
Tulipoanza tuu ile siku Waziri wa Afya akiwa daktari Bingwa kwa jina la Janet akizungumzia kuvaa face mask, daktari huyo akiwa mbele ya Waziri wa Afya alisema face mask zitavaliwa na madaktari tuu wanaohudumia wagonjwa. Nikapandisha bandiko humu na kusema it's not right kwasababu kama inachukua siku 14 kuibaini Corona kwa aliyeambukizwa, how will one knows hivyo to be on a safe side ni watu wote wavae facemasks kama China. Waziri angekuwa daktari pale pale angejua.
Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best! - JamiiForums
2. Mazungumzo na Naibu Waziri wa Afya
Kuna siku nimezungumza na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile, kama ilivyo kawaida yangu, mimi huwa nina maswali magumu. Miongoni mwa maswali niliyomuuliza Dr. Ndugulile ni swali la kwa vile Corona haina dawa, jee anaweza kueleza hao wagonjwa kwenye vituo vya matibabu wanafanywa nini au wana hudumiwa huduma gani ili Watanzania wenye uwezo waweze kuwahudumia wagonjwa wao ambao hawajazidiwa ili kuzuia hospitali zisielemewe. Dr. Alinigomea!.
Kisha nikamuuliza kwa vile Corona ni mafua, kwanini Wizara ya Afya isihamasishe alternative medicine ya watu kujitibu ili wengine wamalizane nayo juu kwa juu bila kuisumbua serikali na kupelekwa vituo vya huduma?.
Pia swali hili alinigomea na kusisitiza kila mwenye dalili aripotiwe.
Kwa kutumia uzoefu wangu wa exposure, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile alikuwa ana majibu yote tena ya kidakitari, lakini kwa vile yeye sio Msemaji rasmi, Msemaji rasmi ni Waziri wake, na Waziri sio daktari, Dr. Ndugulile aliogopa kusema akapishana na Waziri wake, lakini Waziri wa Afya angekuwa ni daktari Bingwa, Dr. Ndugulile angezungumza.
Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV - JamiiForums
Star TV: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Wazuri wa Afya Dr. Faustine Ndungulile, Wanazungumzia Corona - JamiiForums
3. Bingwa wa Kemia Aingilia Kati
Hayo maswali mawili magumu niliyo muuliza Naibu Waziri wa Afya Dr. Faustine Ndugulile ambayo yalitakiwa kujibiwa na madaktari Bingwa wa tiba, leo yamepatiwa majibu badala ya kupatiwa majibu na madaktari Bingwa wa tiba, kitu cha ajabu sana kuhusu mapambano dhidi ya janga la Corona nchini Tanzania, maswali hayo yamepatiwa majibu na Bingwa wa Kemia.
Tanzania tulizoea viongozi wetu wakuu wa kisiasa huwa ni wanasiasa, hivyo ulipo tokea Bingwa wa Kemia alipoutaka urais, kiukweli kuna watu humu tulimshangaa!, tangu lini Bingwa wa Kemia akawa kiongozi wa siasa kuwa mkuu wa nchi?.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums
4. Bingwa wa Kemia Atoa Ushauri wa Kikemia
Lakini kwa mara ya kwanza katika urais wa Tanzania, leo ndio tumeona umuhimu wa kiongozi wa nchi anapokuwa ni Bingwa wa Kemia kuutumia ubingwa wake wa kemia kulisaidia taifa lake kwa ushauri wa Kikemia wa jinsi ya kutumia Kemia kupambana na janga la Corona.
Bingwa wa Kemia ametoa ushauri wa Kikemia kuwa vurusi vimeubwa kwa fat acid hivyo vinayeyushwa au kwa kunawa na maji tiririka, au sanitizers zenye alcohol ambazo zinawayeyusha au mvuke wa nyuzi joto kubwa.
Bingwa wa Kemia amewataka Watanzania kutumia tiba mbalimbali za asili na tiba mbadala kupambana na Corona kwa kunywa tangawizi, vitunguu swaumu, au hata kujifukiza, vitu ambavyo Watanzania walipaswa kufundishwa na madaktari Bingwa wa tiba, badala yake sasa ni Bingwa wa Kemia ndio amekuwa mkombozi wa taifa letu katika vita hii dhidi ya Corona.
Ushauri huu wa Bingwa wa Kemia ndio ukombozi wa Taifa letu dhidi ya janga la Corona, kwasababu naamini kuna wengi wameugua Corona na wakajitibia kwa njia za asili na tiba mbadala na wakapona, hivyo kama kila Mtanzania akiona tuu dalili kwa mbali akaanza na huduma ya kwanza ya homeopathy treatment kwa kutumia natural treatments na alternative medicine tunaweza kuliokoa taifa letu zaidi kuliko kuwategemea hawa madaktari Bingwa wetu wa tiba ambao ni mabubu huku mabingwa wa Kemia ndio wakilisaidia taifa!.
Mpaka hapa nilipofikia, bado kuna haja ya mimi kumtaja huyu bingwa wa Kemia?
Paskali
Mtazamo wako ungetafuta mtu akushauri ungeelewaMkuu amekuja na swala wazungu wanaita 'work from home' ili kuepuka msongano. Lakini cha ajabu ni yeye tu anafanyakazi kotokea nyumbani! Anasisitiza wanachi wake waende kazini. Pia mkuu anataka kupambana na corona kwa kutumia bunduki police na Mahakama.. Kwa hutuba hii bora angenyamaza tu.
Mkuu kabla ya kutumia nenda kituo Cha afya watakuelekeza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] badala ya kuua corona unajiua mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nimekasikia hamna kitu sema IGP kaambiwa afuatilie social media. Uwe makini kwenye magroup na hapa JF. Max akibanwa naniluuuuu lazima atoe information zetu.
Watakuja wanasiasa harakati kuhoji na kutia hofu WaTz kutafuta kiki ya kisiasa.Wanabodi,
Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa wakombozi wa taifa letu, Mkombozi wa kweli wa taifa letu kwenye hii vita ya Corona ni Bingwa wa Kemia, ndiye ametoa ushauri bora kabisa wa Kikemia wa namna bora ya kuikabiliana na janga hili la Corona ili kushinda vita hii.
Je, bingwa huyu wa Kemia ni nani na ametoa ushauri gani?
Andamana nami.
1. Background, Professionalism
Tangu kuanza kwa janga hili la Corona, mimi kama Mtanzania Mzalendo nimeshiriki kikamilifu katika vita hii kikamilifu katika maeneo 5
Hivyo kwenye hayo maendeleo 5 nimeshiri kwa kutoa maoni mbalimbali, miongoni mwake ni ule ushauri wangu wa mwanzo kuwa zipo wizara zinaweza kuongozwa na Waziri mwanasiasa yoyote, lakini kuna wizara zinazo deal na technical issues, zinapaswa kuongozwa na ma professionals. Moja ya wizara ya Afya, ilipaswa kuongozwa na daktari bingwa na sio a layman kwenye medical field.
- Kama Mtanzania tuu wa kawaida
- Kama Mwana jf
- Kama mwandishi wa habari mzoefu
- Kama mtangazaji wa TV Nguli
- Kama mtu mwenye exposure.
Tulipoanza tuu ile siku Waziri wa Afya akiwa daktari Bingwa kwa jina la Janet akizungumzia kuvaa face mask, daktari huyo akiwa mbele ya Waziri wa Afya alisema face mask zitavaliwa na madaktari tuu wanaohudumia wagonjwa. Nikapandisha bandiko humu na kusema it's not right kwasababu kama inachukua siku 14 kuibaini Corona kwa aliyeambukizwa, how will one knows hivyo to be on a safe side ni watu wote wavae facemasks kama China. Waziri angekuwa daktari pale pale angejua.
Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best! - JamiiForums
2. Mazungumzo na Naibu Waziri wa Afya
Kuna siku nimezungumza na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile, kama ilivyo kawaida yangu, mimi huwa nina maswali magumu. Miongoni mwa maswali niliyomuuliza Dr. Ndugulile ni swali la kwa vile Corona haina dawa, jee anaweza kueleza hao wagonjwa kwenye vituo vya matibabu wanafanywa nini au wana hudumiwa huduma gani ili Watanzania wenye uwezo waweze kuwahudumia wagonjwa wao ambao hawajazidiwa ili kuzuia hospitali zisielemewe. Dr. Alinigomea!.
Kisha nikamuuliza kwa vile Corona ni mafua, kwanini Wizara ya Afya isihamasishe alternative medicine ya watu kujitibu ili wengine wamalizane nayo juu kwa juu bila kuisumbua serikali na kupelekwa vituo vya huduma?.
Pia swali hili alinigomea na kusisitiza kila mwenye dalili aripotiwe.
Kwa kutumia uzoefu wangu wa exposure, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile alikuwa ana majibu yote tena ya kidakitari, lakini kwa vile yeye sio Msemaji rasmi, Msemaji rasmi ni Waziri wake, na Waziri sio daktari, Dr. Ndugulile aliogopa kusema akapishana na Waziri wake, lakini Waziri wa Afya angekuwa ni daktari Bingwa, Dr. Ndugulile angezungumza.
Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV - JamiiForums
Star TV: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Wazuri wa Afya Dr. Faustine Ndungulile, Wanazungumzia Corona - JamiiForums
3. Bingwa wa Kemia Aingilia Kati
Hayo maswali mawili magumu niliyo muuliza Naibu Waziri wa Afya Dr. Faustine Ndugulile ambayo yalitakiwa kujibiwa na madaktari Bingwa wa tiba, leo yamepatiwa majibu badala ya kupatiwa majibu na madaktari Bingwa wa tiba, kitu cha ajabu sana kuhusu mapambano dhidi ya janga la Corona nchini Tanzania, maswali hayo yamepatiwa majibu na Bingwa wa Kemia.
Tanzania tulizoea viongozi wetu wakuu wa kisiasa huwa ni wanasiasa, hivyo ulipo tokea Bingwa wa Kemia alipoutaka urais, kiukweli kuna watu humu tulimshangaa!, tangu lini Bingwa wa Kemia akawa kiongozi wa siasa kuwa mkuu wa nchi?.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums
4. Bingwa wa Kemia Atoa Ushauri wa Kikemia
Lakini kwa mara ya kwanza katika urais wa Tanzania, leo ndio tumeona umuhimu wa kiongozi wa nchi anapokuwa ni Bingwa wa Kemia kuutumia ubingwa wake wa kemia kulisaidia taifa lake kwa ushauri wa Kikemia wa jinsi ya kutumia Kemia kupambana na janga la Corona.
Bingwa wa Kemia ametoa ushauri wa Kikemia kuwa vurusi vimeubwa kwa fat acid hivyo vinayeyushwa au kwa kunawa na maji tiririka, au sanitizers zenye alcohol ambazo zinawayeyusha au mvuke wa nyuzi joto kubwa.
Bingwa wa Kemia amewataka Watanzania kutumia tiba mbalimbali za asili na tiba mbadala kupambana na Corona kwa kunywa tangawizi, vitunguu swaumu, au hata kujifukiza, vitu ambavyo Watanzania walipaswa kufundishwa na madaktari Bingwa wa tiba, badala yake sasa ni Bingwa wa Kemia ndio amekuwa mkombozi wa taifa letu katika vita hii dhidi ya Corona.
Ushauri huu wa Bingwa wa Kemia ndio ukombozi wa Taifa letu dhidi ya janga la Corona, kwasababu naamini kuna wengi wameugua Corona na wakajitibia kwa njia za asili na tiba mbadala na wakapona, hivyo kama kila Mtanzania akiona tuu dalili kwa mbali akaanza na huduma ya kwanza ya homeopathy treatment kwa kutumia natural treatments na alternative medicine tunaweza kuliokoa taifa letu zaidi kuliko kuwategemea hawa madaktari Bingwa wetu wa tiba ambao ni mabubu huku mabingwa wa Kemia ndio wakilisaidia taifa!.
Mpaka hapa nilipofikia, bado kuna haja ya mimi kumtaja huyu bingwa wa Kemia?
Paskali
Yaani Yohana inabidi aendelee na likizo. Inaekekea bado ana uchovu kwa kazi Kubw na ngumu za mwaka Jana.Daah wewe na Pascal Mayalla Mayalla mtatuponza hizi comment zenu.
Kama hapo kwenye kuvukiza nilimsikiliza mkuu sana nikashituka pale aliposema yule virus atapasuka tu hawezi kuhimili 100 Degrees Centigrade, nikasema hivi nani anaweza kuvumilia kupigwa na mvuke wa nyuzi hizo za joto asiungue usoni?
Mkuu sana alitakiwa asome script tu, kila akijaribu freestyle a.k.a 'acapella' huwa anatoka nje ya note.
Sister hiyo ni njia inatumika tangia siku nyingi tu. Mbona wagonjwa wa surua wanatibiwa hivyo. Labda nikupe ushuhuda mimi nilitibiwa kwa njia hiyo nilipo ugua surua (na naye ni virus). Wazazi walitembea hospitali kadha wa kadha kilicho niponya ni mvuke wa huo nikiwa hospitali fulani sitoitaja jinaKwamba uchemshe pua na maji C 100
Hii hotuba Dah nimefikiria mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliozaliwa 90's kurudi nyuma tunaelewa Sana,enzi hizo hospitali moja ya mkoa au kata Ina hospi 1Sister hiyo ni njia inatumika tangia siku nyingi tu. Mbona wagonjwa wa surua wanatibiwa hivyo. Labda nikupe ushuhuda mimi nilitibiwa kwa njia hiyo nilipo ugua surua (na naye ni virus). Wazazi walitembea hospitali kadha wa kadha kilicho niponya ni mvuke wa huo nikiwa hospitali fulani sitoitaja jina
Katika siku ambazo sielewi kinajodaluwa Ni leo....!hivi Ni kweli Rais kasema haya!Hayo maswali mawili magumu niliyo muuliza Naibu Waziri wa Afya Dr. Faustine Ndugulile ambayo yalitakiwa kujibiwa na madaktari Bingwa wa tiba, leo yamepatiwa majibu badala ya kupatiwa majibu na madaktari Bingwa wa tiba, kitu cha ajabu sana kuhusu mapambano dhidi ya janga la Corona nchini Tanzania, maswali hayo yamepatiwa majibu na Bingwa wa Kemia.
Tanzania tulizoea viongozi wetu wakuu wa kisiasa huwa ni wanasiasa, hivyo ulipo tokea Bingwa wa Kemia alipoutaka urais, kiukweli kuna watu humu tulimshangaa!, tangu lini Bingwa wa Kemia akawa kiongozi wa siasa kuwa mkuu wa nchi?.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums
Lakini kwa mara ya kwanza katika urais wa Tanzania, leo ndio tumeona umuhimu wa kiongozi wa nchi anapokuwa ni Bingwa wa Kemia kuutumia ubingwa wake wa kemia kulisaidia taifa lake kwa ushauri wa Kikemia wa jinsi ya kutumia Kemia kupambana na janga la Corona.
P
Paskali,
Hii thread yako inafurahisha sana kiukweli! Kwamba bingwa wa Kemia amegeuka kuwa Daktari Bingwa wa Covid-19!!!! Inachekesha sana na kufurahisha sana kama siyo kusikitisha....!!!
Epicentre ya Covid-19 ni WUHAN huko nchini China ambako kuna Maprofesa wa Kemia na Kemikali waliobobea. Je, unataka kuniambia kuwa hao Maprofesa na Madaktari wa Kemia hawakuliona au kulijua hili kuwa kumbe Virusi va Corona ni FUTA ambalo ukijifukiza na MVUKE WA MAJI UNAOTOKANA na Boiling Point ya 100 degree Celcius Kirusi kinayeyuka kama SIAGI YA KULIA BOFULO🤣🤣🤣!!!
Huu ni ugunduzi unaohitaji Nobel Prize!
Daah wewe na Pascal Mayalla Mayalla mtatuponza hizi comment zenu.
Kama hapo kwenye kuvukiza nilimsikiliza mkuu sana nikashituka pale aliposema yule virus atapasuka tu hawezi kuhimili 100 Degrees Centigrade, nikasema hivi nani anaweza kuvumilia kupigwa na mvuke wa nyuzi hizo za joto asiungue usoni?
Mkuu sana alitakiwa asome script tu, kila akijaribu freestyle a.k.a 'acapella' huwa anatoka nje ya note.
Katika siku ambazo sielewi kinajodaluwa Ni leo....!hivi Ni kweli Rais kasema haya!
HujaelewaHii ina maana hata sanitizer haina umuhimu kama tunavoaminishwa, kirusi hawezi kufa kwa namna yoyote ile[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
Sent using Jamii Forums mobile app