Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia

Mkuu amekuja na swala wazungu wanaita 'work from home' ili kuepuka msongano. Lakini cha ajabu ni yeye tu anafanyakazi kotokea nyumbani! Anasisitiza wanachi wake waende kazini. Pia mkuu anataka kupambana na corona kwa kutumia bunduki police na Mahakama.. Kwa hutuba hii bora angenyamaza tu.
 
Hee! Paskali!
 
Mtazamo wako ungetafuta mtu akushauri ungeelewa
 
Watakuja wanasiasa harakati kuhoji na kutia hofu WaTz kutafuta kiki ya kisiasa.

Mara nyingi nimesema Rais, Dr Magufuli, anawafundisha wanasiasa duniani maana iliyo sahihi ya siasa akitumia taaluma yake ya sayansi.

Ni ukweli ulio wazi virusi vya CORONA haviwezi kuisha kwa kujifungia ndani ya majumba yetu (lockdown) bali kwa kuviangamiza. Baadhi ya njia sahihi ya kufikia lengo ni hizo alizozitaja Rais, mkemia kitaaluma.

Ili tufanikiwe kumwondoa kirusi katika jamii yetu ni kwa kila mwananchi kufuata ushauri wa kitaalamu na kutumia dawa mbadala ya kuangamiza kirusi, kwa waliombukizwa au la.

KWA PAMOJA VITA HII TUTASHINDA.
 
Yaani Yohana inabidi aendelee na likizo. Inaekekea bado ana uchovu kwa kazi Kubw na ngumu za mwaka Jana.
 
Kwamba uchemshe pua na maji C 100

Hii hotuba Dah nimefikiria mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sister hiyo ni njia inatumika tangia siku nyingi tu. Mbona wagonjwa wa surua wanatibiwa hivyo. Labda nikupe ushuhuda mimi nilitibiwa kwa njia hiyo nilipo ugua surua (na naye ni virus). Wazazi walitembea hospitali kadha wa kadha kilicho niponya ni mvuke wa huo nikiwa hospitali fulani sitoitaja jina
 
Ndugu Pascal Virus akiwa nje ya mwili ni kweli anaweza kuuwawa kirahisi.

Virus ni simple cell zimeundwa kwa protein ambazo zimeshikiliwa kwa fatty acid.

Ni rahisi tu nje ya mwili sabuni inavunja hizo bonds.

Na hata joto LA juu ya zaidi ya 40 hivi vishikizi ama bonds pia huvunjika.

Virus akiingia ndani ya mwili haya hayawezekani, kwani virus huingia ndani ya cell za mwili. Cell pia zinajengwa kwa proteins vilevile hivyo katika joto LA juu zaidi ya 41 protein zitaundergo denaturation/zitavunjika na cell zote za mwili zitakufa. So kabla hujaua virus kwa hilo joto LA juu tayari utakuwa umeua cell zako za mwili.

Pia mwili una mechanism ya kuregulate joto LA ndani libaki kuwa 36C ili kulinda hizi cell zisipate hilo joto LA kuziaribu. Ndiyo maana ukijifukiza no matter what joto LA ndani ya mwili litabaki vilevile kwa kutoa jasho jingi sana ili kubalance, na LA nje.

Kinachotokea kwa Corona ni nini? Mpk sasa hakuna dawa sana sana kinachofanyika ni kupambana na homa, kikohozi na upumuaji wa MTU mpk kings zake ziweze kuwaclear hawa virus. Kinga ikishindwa cells za kwe respiratory system na mpk kwenye liver zikiaribiwa kwa kiasi kikubwa utakufa tu kwa pneumonia. Na ndicho huwatokea wazee na wengi wenye magonjwa yaliyowafanya kuwa na udhaifu katika kings zao.

So njia ya pekee hapa ni kupambana usiupate, kama ambavyo JPM kaenda kujichimbia asiupate. Hivyo vyote alivyovitaja ni vyakula tu ambavyo vinasaidia kinga mwili kuimarika na nothing new.

Pia kama ni mkemia tupe chapisho lolote LA huyu mkemia, maana haya yote ya kuvukishwa ni viclip ambavyo vimezagaa ambavyo havina any scientific proof...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliozaliwa 90's kurudi nyuma tunaelewa Sana,enzi hizo hospitali moja ya mkoa au kata Ina hospi 1
 
Katika siku ambazo sielewi kinajodaluwa Ni leo....!hivi Ni kweli Rais kasema haya!
 

Mkuu kuanzia leo ndo utambue ni tuna rais kichwa kawazidi mpaka hao uliowaorodhesha😂😂
 

Na kuna watu (hata humu ukumbini) hawajajua kuwa mvuke wenye joto la 100ºC lazima ukuunguze. PhD ya Kemia my foot.
 
Hii ina maana hata sanitizer haina umuhimu kama tunavoaminishwa, kirusi hawezi kufa kwa namna yoyote ile[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa
Rudia tena kusoma au kumsikiliza
Kasisitiza kunawa na sabuni au sanitizer, wewe unasema hamna umuhimu,why?
Na alcohol aliyo isema jpm ndo hiyo sanitizer chief,msio jua kemia mnatabu sana😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…