BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Kumuyange fc akiwa mtetezi kombe la mbunge 2007 alitolewa na Nyamiyaga stars ndani ya dk 90.Kwenu wadau kama Kuna timu nyingine hapa duniani imewahi kufanya kituko hiki mtiririke hapa chini.
Kumbe kuna ngumi inaitwa Sugunyo ila huyu kuna siku atatukana kikabilaYaani hiyo ni ngumi ya SUGUNYO zaidi ya NDOIGE PELESU PELESU.
Mkuu ww unaona Mgunda anajua logic za hizi mambo?ila me sijaelewa kitu kimoja, mbona mgunda amesema bado mechi mbili na atatetea ubingwa?
Eheee anaenda kuitumia kenya MANDONGA MTU KAZI.Kumbe kuna ngumi inaitwa Sugunyo ila huyu kuna siku atatukana kikabila
Hatari sana hiiEheee anaenda kuitumia kenya MANDONGA MTU KAZI.
Angalau sisi tulicheza mechi mbili ndio tukatolewa, nyie Moja tu??? Yaani refa kapuliza filimbi ya kuanza mechi mkiwa mabingwa watetezi, lakini alipopuliza filimbi ya kumalizia mechi tayari hao mkakimbilia mabegi kuanza kupakia mizigo tayri Kwa safari....Na ww umeshupaliaa..je nyie mlivyotolewa na Alhilal club Bingwa uchungu wake unazidi kweli wa kikosi cha pili tena cha kombe la pweza??? [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Mkuu ww unaona Mgunda anajua logic za hizi mambo?
Ukute hadi mpira unaisha hajui kama timu Yake ndo haina nafasi tena. Ukute mwenzio anajua ka yupo kwenye ligi kama ya NBC vile
Kuwa Yanga ni Qualification tosha kwamba ni ujinga na ndio maana huko kuna wawili tu.France walifungwa ndio mechi ya kwanza na Senegal ila hawakutolewa mashindanoni paka baada ya kucheza mechi yao ya tatu ndio walikua out
Simba mechi Moja tu out huoni tofauti hapo? Au ndio tuseme rage alivosema Simba wote ni mbumbumbu hakukosea
Afadhali hao wawili wa Yanga kuliko huku kwingine ambapo wote ni mbu3..Kuwa Yanga ni Qualification tosha kwamba ni ujinga na ndio maana huko kuna wawili tu.
France anatolewa kukiwa na timu 4 kwa Group but Group la Simba timu zipo 3. Sasa hiyo hesabu rahisi isiyohitaji hata tuisheni usaidiwe.
Wrong info?????ha ha ha i think kuna wrong information lets wait and see
Acha kituko, benchi lipi? Nihili linalopiga mtu wiki 7-1 tena maafande?Ni aibu kwakeli. Yaani mechi Moja tu out????? Benchi la fundi wawajibishwe Kwa huu us..ngelema
Sizitaki mbichi hizi.Tumewaachie na nyie mlionjee
Bila shaka kichwa kilipoteza network mara tu baada ya mchezo kuisha. Muonee huruma.ila me sijaelewa kitu kimoja, mbona mgunda amesema bado mechi mbili na atatetea ubingwa?
Kinyonge kweli πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simba gufu moya[emoji123][emoji123][emoji123]
Kwa kipimo hiki, basi hata Argentina asingeupata ubingwa wa Dunia!Yaani mechi Moja tu out???? Hivi hii umeshawahi kuiskia kweli??