Maajabu ya Dunia: Bingwa mtetezi kutolewa mashindanoni baada ya kucheza dakika 90 tu za mechi yake ya kwanza ya mashindano

Maajabu ya Dunia: Bingwa mtetezi kutolewa mashindanoni baada ya kucheza dakika 90 tu za mechi yake ya kwanza ya mashindano

Poleni sana. Sasa mwaka huu mtaondoka na kombe lipi[emoji848][emoji848]?? Miaka inasonga kimasihara huku mkiendelea na porojo zenu za kimataifa[emoji1][emoji1][emoji1]
Kwani ni uongo hatupo katika Team 16 bora zinazocheza CL.Nyinyi bakini na vimalengo vyenu vya 'ubingwa' wa Ndondo Cup ya Zanzibar [emoji3]
 
Afadhali hao wawili wa Yanga kuliko huku kwingine ambapo wote ni mbu3..
France alitolewa baada ya kucheza mechi yake ya tatu ya kundi na kufungwa 2-0 dhidi ya Denmak.
Ilikuwa hivi mechi ya kwanza Senegal 1-0 France
Mechi ya pili uruguay 0-0 France
Na mechi ya tatu ambapo kama France wangeshinda walikua wanaenda 16 Bora ndio wakafungwa.

Ila Simba mechi yake ya kwanza tu kafungwa and at the same time katolewa mashindanoni huoni tofauti hapo we kilaza????
Kwani group la Simba lilikuwa na timu 4? Ujinga ni mzigo sana. Halafu mnacheza lini Nusu Fainali ya Mapinduzi Cup?
 
Haya mleta Uzi njoo utuambie Uto wapo wapi sasa na kwanini wametoka mashindanoni na Mnyama yupo wapi muda huu.
 
Back
Top Bottom