Maajabu ya dunia,mtu aliepata mtoto pasipo kuwahi kuishi kabisa

Maajabu ya dunia,mtu aliepata mtoto pasipo kuwahi kuishi kabisa

Mtoa post hapa napata shida kidogo. Hiyo fusion ya pacha mojawapo kuwa mwenzake ndiyo iliyopelekea awe na DNA mbili tofauti.? Na DNA zinaweza kuwa tofauti kwa mapacha wa kufanana? Maana wanatokana na the same sperm, na the same overy.?
To Be more specific surviving twin anafanya fusion ya cell za twin aliefariki,kwa hyo ata develop some tissues kwa kutumia cell zenye DNA tofaut
Hapana mapacha wakufanana wana match DNA
 
Wakijuaje Kama Kuna pacha wakati hajawahi juishi.? Hii chai mi ntakua wa mwisho kumimina kwenye kikombe
 
Wakijuaje Kama Kuna pacha wakati hajawahi juishi.? Hii chai mi ntakua wa mwisho kumimina kwenye kikombe
walijua kwa sababu DNA za huyo pacha mwengine zilikuwepo kwa baba mtoto,mbona logic ndogo tu hiyo
 
To Be more specific surviving twin anafanya fusion ya cell za twin aliefariki,kwa hyo ata develop some tissues kwa kutumia cell zenye DNA tofaut
Hapana mapacha wakufanana wana match DNA
At which stage of growth fusion ina fanyika, kuna stage kama tatu, embryo, foetus and Zygote.(I stand to be corrected)
 
Back
Top Bottom