Mtoa post hapa napata shida kidogo. Hiyo fusion ya pacha mojawapo kuwa mwenzake ndiyo iliyopelekea awe na DNA mbili tofauti.? Na DNA zinaweza kuwa tofauti kwa mapacha wa kufanana? Maana wanatokana na the same sperm, na the same overy.?
To Be more specific surviving twin anafanya fusion ya cell za twin aliefariki,kwa hyo ata develop some tissues kwa kutumia cell zenye DNA tofaut
Hapana mapacha wakufanana wana match DNA