Maajabu ya dunia: Ndege yaondoka Hongkong 2025 yafika Marekani 2024

Mtanzania2020

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2020
Posts
817
Reaction score
1,752
Unaambiwa Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi mwaka 2024.

Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya Pasifiki ilianzia Hong Kong muda mfupi baada ya usiku wa manane tarehe 1 Januari 2025, dakika chache baada ya jiji hilo kuukaribisha Mwaka Mpya.

Baada ya kuvuka kanda tisa za saa na Mstari wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tarehe katika safari yake ya saa 14, ndege hiyo ilitarajiwa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Los Angeles saa 4 usiku tarehe 31 Desemba 2024 - ikiwa ni muda muafaka kwa kuhesabu masaa mawili ya kuukaribisha Mwaka Mpya tena.

Huduma ya kufuatilia safari za ndege, Flightradar, ilichapisha ujumbe kwenye X (zamani Twitter), ikisema:
"Ndege hii imeondoka Hong Kong mwaka 2025 na itatua Los Angeles mwaka 2024."

"Baada ya saa 11 na nusu angani, ni wakati wa kusherehekea Mwaka Mpya tena!"
 
Attachments

  • FB_IMG_1735884574939.jpg
    FB_IMG_1735884574939.jpg
    24.3 KB · Views: 5

😂😂😂 it’s amazing
 
Kama umesoma somo la jiografia na kulimudu huwezi ukaita hilo ni ajabu hata kidogo.
Hili ni tukio tu la kustaajabisha. Ila siyo maajabu ya dunia.
Hakuna maajabu imetoka na kutua katika Different time zones
Waliotoa hiyo habari, kama hawaijui hiyo Geography mnayoijua, ina maana hata uchunguzi pia hawana? Au Searching Engines zao zimekufa?

Watu wanasheherekea Mwaka Mpya, kuonesha upekee wa tukio hilo kila baada ya muda fulani, sasa itakuwa kitu ambacho pengine hao ABIRIA watakuwa wamekiishi once in their lifetime?

Kwa mujibu wenu, mambo ya kustaajabisha yabaki kuwa yale yaliyokosa ufafanuzi wa kisayansi tu sio?
 
Toa alama zote za kuuliza halafu usome upya ulichokiandika ndiyo jibu.
 
Unaambiwa Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi mwaka 2024.

Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya Pasifiki ilianzia Hong Kong muda mfupi baada ya usiku wa manane tarehe 1 Januari 2025, dakika chache baada ya jiji hilo kuukaribisha Mwaka Mpya.

Baada ya kuvuka kanda tisa za saa na Mstari wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tarehe katika safari yake ya saa 14, ndege hiyo ilitarajiwa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Los Angeles saa 4 usiku tarehe 31 Desemba 2024 - ikiwa ni muda muafaka kwa kuhesabu masaa mawili ya kuukaribisha Mwaka Mpya tena.

Huduma ya kufuatilia safari za ndege, Flightradar, ilichapisha ujumbe kwenye X (zamani Twitter), ikisema:
"Ndege hii imeondoka Hong Kong mwaka 2025 na itatua Los Angeles mwaka 2024."

"Baada ya saa 11 na nusu angani, ni wakati wa kusherehekea Mwaka Mpya tena!"
Siyo Jambo la ajabu hata kidogo, hiyo ni jiografia ya kawaida kabisa. Hakuna kitu kinachoshangaza hapo.

Kama umeshawahi kusafiri kwa Ndege (direct flight) kutoka nchini Australia kuja Afrika hususani South Africa utakuwa umeshawahi ku-experience kitu cha namna hii. Utagundua kwamba ulipoanza Safari yako ukiwa Australia ilikuwa let say tarehe 3 Januari na umewasili South Africa inakuwa tarehe 2 Januari, haya ni masuala rahisi kabisa ya Geography hususani kuhusiana na masuala ya Time Zones (Longitudes and Latitudes).
 
Toa alama zote za kuuliza halafu usome upya ulichokiandika ndiyo jibu.
Acheni usomi wa kujitukuza ilhali hamna effect yoyote kisomi; maisha yameendelea kuwa yale yale ya ninyi wasomi kukopi wanayofanya wenzenu tena bila hata kujifunza maana yake!

Pengine wasomi wengi huku kwetu, wameishia kubobea nadharia tu, hawajawahi kushuhudia au kuyaishi yale mambo ya nadra na ya kipekee ya kisayansi zaidi ya yale ya kawaida; misimu minne ya mwaka, eclipses(Dunia huwa inahama kuelekea eneo Total eclipse inapotokea, ingawa na yenyewe mngesema ni kawaida si kila mwaka inatokea, ni geography sio?) ambazo na zenyewe unaweza kuta wengi hawajashuhudia zile Total etc

Inastaajabisha na inafurahisha kwa mtu kuyaishi au kushuhudia matukio nadra ya kisayansi kama hayo!
 
Umeandika kwa hasira sana.Kwa hiyo ulitaka hadi tushuhudie na kuviishi viinimacho na uchawi ndiyo ikupendeze?
 
Acheni usomi wa kujitukuza ilhali hamna effect yoyote kisomi; maisha yameendelea kuwa yale yale ya ninyi wasomi kukopi wanayofanya wenzenu tena bila hata kujifunza maana yake!

Pengine wasomi wengi huku kwetu, wameishia kubobea nadharia tu, hawajawahi kushuhudia au kuyaishi yale mambo ya nadra na ya kipekee ya kisayansi zaidi ya yale ya kawaida; misimu minne ya mwaka, eclipses(Dunia huwa inahama kuelekea eneo Total eclipse inapotokea, ingawa na yenyewe mngesema ni kawaida si kila mwaka inatokea, ni geography sio?) ambazo na zenyewe unaweza kuta wengi hawajashuhudia zile Total etc

Inastaajabisha na inafurahisha kwa mtu kuyaishi au kushuhudia matukio nadra ya kisayansi kama hayo!

Ndugu, tukio hilo ni jambo la kawaida kabisa hapa duniani, siyo kitu kigeni hata kidogo.

Kama umeshawahi kusafiri kwa Ndege (direct flight) kutoka nchini Australia kuja Afrika hususani South Africa utakuwa umeshawahi ku-experience kitu cha namna hii. Utagundua kwamba ulipoanza Safari yako ukiwa Australia ilikuwa let say tarehe 3 Januari na umewasili South Africa inakuwa tarehe 2 Januari, siku moja nyuma ya tarehe yako uliyoanza safari. Haya ni masuala rahisi kabisa ya Geography hususani kuhusiana na masuala ya Time Zones (Longitudes and Latitudes).
Kwa hiyo Wala hata haishangazi.
 
Back
Top Bottom