Maajabu ya dunia: Ndege yaondoka Hongkong 2025 yafika Marekani 2024

Mambo ya kawaida Hong Kong iko mbele kimasaa huku Marekani iko nyuma
 
Safari za aina hiyo sio mara ya kwanza kufanyika,hua zinapangwa makusudi kabisa,na lengo kuu ni kulitangaza hilo shirika la Ndege,ni kama tangazo la biashara tu,

Wataalamu wa IT nisaidieni hapa,
Je walifanyaje katika utoaji wa tiketi? System ilienda mbele kisha ikarudi nyuma kuhusu tarehe kwenye computer wakati wa uchapishaji wa tiketi?
 
Unaweza pia ukasherehekea mwaka mpya mara mbili hata ukiondoka Kigoma baada ya mwaka mpya kisha ukaenda Burundi kusherehekea tena mwaka mpya,
Hakuna maajabu yeyote hapo.
 
Safari za aina hiyo sio mara ya kwanza kufanyika,hua zinapangwa makusudi kabisa,na lengo kuu ni kulitangaza hilo shirika la Ndege,ni kama tangazo la biashara tu,

Wataalamu wa IT nisaidieni hapa,
Je walifanyaje katika utoaji wa tiketi? System ilienda mbele kisha ikarudi nyuma kuhusu tarehe kwenye computer wakati wa uchapishaji wa tiketi?
Mifumo ya uchakataji wa Air Tickets huwa inakokotoa mahesabu yote haya ya muda wa Safari.
 
Hakuna maajabu, wamevuka time zones kwa kurudi nyuma, kama vile ambavyo upande wa mashariki huanza kuona jua, hata kwa muda ni hivyo hivyo, unaweza ukaondoka DAR asubuhi, na ukafika Marekani asubuhi tena..
 
Siyo Jambo la ajabu hata kidogo, hiyo ni jiografia ya kawaida kabisa. Hakuna kitu kinachoshangaza hapo.

Kama umeshawahi kusafiri kwa Ndege (direct flight) kutoka nchini Australia kuja Afrika hususani South Africa utakuwa umeshahi ku-experience kitu cha namna hii. Utagundua kwamba ulipoanza Safari yako ukiwa Australia ilikuwa let say tarehe 3 Januari na umewasili South Africa inakuwa tarehe 2 Januari, haya ni masuala rahisi kabisa ya Geography hususani kuhusiana na masuala ya Time Zone (Longitudes and Latitudes).
Umeeleza vizuri na umetoa mfano mzuri kabisa (vivid example), Hawa nao waseme wanakutana na maajabu wakati ni jografia ya kawaida upande wa tofauti ya masaa.

Walipaswa kusema abiria wamepata nafasi ya kuupokea mwaka mara mbili katika inchi mbili tofauti zenye utofauti wa masaa. Sio kuleta habari za maajabu!
 
Hakuna maajabu, wamevuka time zones kwa kurudi nyuma, kama vile ambavyo upande wa mashariki huanza kuona jua, hata kwa muda ni hivyo hivyo, unaweza ukaondoka DAR asubuhi, na ukafika Marekani asubuhi tena..
Yes, absolutely!

Mathalani, Unaweza kuondoka Dsm asubuhi ya tarehe 7 Februari, 2025 na ukawasili Marekani majira ya asubuhi ya tarehe hiyo hiyo 7 Februari, 2025 kwa majira ya nchi hiyo ya Marekani.
 
Ndugu, tukio hilo ni jambo la kawaida kabisa hapa duniani, siyo kitu kigeni hata kidogo.
Kama umeshawahi kusafiri kwa Ndege (direct flight) kutoka nchini Australia kuja Afrika hususani South Africa utakuwa umeshahi ku-experience kitu cha namna hii. Utagundua kwamba ulipoanza Safari yako ukiwa Australia ilikuwa let say tarehe 3 Januari na umewasili South Africa inakuwa tarehe 2 Januari, siku moja nyuma ya tarehe yako uliyoanza safari. Haya ni masuala rahisi kabisa ya Geography hususani kuhusiana na masuala ya Time Zone (Longitudes and Latitudes).
Kwa hiyo Wala hata haishangazi.
Sina shida na hilo, na lina maelezo ya kisayansi sio?

Sasa, upekee wa matukio ambayo ni ya ajabu utakuwa narrowed down kufikia kuwa pengine hata yale maajabu ya dunia kupungua au kufutwa kabisa kwasababu ni ya kawaida kisayansi?

Nini ni cha ajabu kwenye;
  • Eclipses?
  • Craters?
  • Bonde la ufa?
  • Vimondo kuangukia duniani?
  • Bahari mbili kutochanganyika?
  • Urefu wa milima?
.
.
.

Unaweza kuwa frequent flyer, ukaona ni sawa tu ndege kupaa na kukaa angani masaa 14, ikiwa na uzito wote ule; reasoning yako ikawa kwakuwa unao uelewa wa nini kinatokea kisayansi, well and good, wengine ikawa ni mara moja kwa maisha halafu ndo ukutane na hiyo scenario, haiwezi kuwa kawaida.

Umeenda mbali sana mzee, Dar na Kigoma, tuko time zone tofauti ile kiuhalisia kabisa, Kigali, Bujumbura, SA etc wako nyuma yetu sio! Kwa wanaoenda kule, wanaweza hata wasione hiyo tofauti kwakuwa ni lisaa tu!

Vipi ukienda nchi za mbali huko, ukaona saa inasema ni 21:00 halafu jua lipo juu, kama jioni tu?
  • Maisha yako yote kabla hujawahi kutoka nje ya TZ pengine.
  • Hutostaajabu kushuhudia jambo kama hilo? Yes, pengine umesikia iko hivyo, ila ndo mara ya kwanza unaona!
  • Ilhali wakazi wa pale kwao ni kama mvua tu za masika!

Mzee, kusheherekea mwaka mpya mara mbili, ni jambo la ku-woooow. Wengi hawajapata shuhudia bado!
 
Hoja yako ni Nini hasa? Because I don't understand you?!!!!
Please, Can you elaborate???
 
Unaambiwa Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi mwaka 2024.

Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya Pasifiki ilianzia Hong Kong muda mfupi baada ya usiku wa manane tarehe 1 Januari 2025, dakika chache baada ya jiji hilo kuukaribisha Mwaka Mpya.

Baada ya kuvuka kanda tisa za saa na Mstari wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tarehe katika safari yake ya saa 14, ndege hiyo ilitarajiwa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Los Angeles saa 4 usiku tarehe 31 Desemba 2024 - ikiwa ni muda muafaka kwa kuhesabu masaa mawili ya kuukaribisha Mwaka Mpya tena.

Huduma ya kufuatilia safari za ndege, Flightradar, ilichapisha ujumbe kwenye X (zamani Twitter), ikisema:
"Ndege hii imeondoka Hong Kong mwaka 2025 na itatua Los Angeles mwaka 2024."

"Baada ya saa 11 na nusu angani, ni wakati wa kusherehekea Mwaka Mpya tena!"
Hakuna maajabu ni Geography na mambo kupishana masaa....ni trip nzuri sana kuwemo kwa enjoy na history.....next year we plan mama saa 100 awemo humooo...@ Lucas apige domo kaya lake....
 
Unaambiwa Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi mwaka 2024.

Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya Pasifiki ilianzia Hong Kong muda mfupi baada ya usiku wa manane tarehe 1 Januari 2025, dakika chache baada ya jiji hilo kuukaribisha Mwaka Mpya.

Baada ya kuvuka kanda tisa za saa na Mstari wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tarehe katika safari yake ya saa 14, ndege hiyo ilitarajiwa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Los Angeles saa 4 usiku tarehe 31 Desemba 2024 - ikiwa ni muda muafaka kwa kuhesabu masaa mawili ya kuukaribisha Mwaka Mpya tena.

Huduma ya kufuatilia safari za ndege, Flightradar, ilichapisha ujumbe kwenye X (zamani Twitter), ikisema:
"Ndege hii imeondoka Hong Kong mwaka 2025 na itatua Los Angeles mwaka 2024."

"Baada ya saa 11 na nusu angani, ni wakati wa kusherehekea Mwaka Mpya tena!"
Mi siamini...

...Ni Hayo Tu!!
 
Sijuhi hiyo siku inayoitwa "kiama" itaanzia wapi, maana ikianzia Sydney hapa nitakuwa nimeishakula vitu vyangu muhimu!
 
Sasa kuna maajabu gani hapo, jau sana 😂
 
Back
Top Bottom