Maajabu ya dunia: Ndege yaondoka Hongkong 2025 yafika Marekani 2024

Mambo ya kawaida Hong Kong iko mbele kimasaa huku Marekani iko nyuma
 
Safari za aina hiyo sio mara ya kwanza kufanyika,hua zinapangwa makusudi kabisa,na lengo kuu ni kulitangaza hilo shirika la Ndege,ni kama tangazo la biashara tu,

Wataalamu wa IT nisaidieni hapa,
Je walifanyaje katika utoaji wa tiketi? System ilienda mbele kisha ikarudi nyuma kuhusu tarehe kwenye computer wakati wa uchapishaji wa tiketi?
 
Unaweza pia ukasherehekea mwaka mpya mara mbili hata ukiondoka Kigoma baada ya mwaka mpya kisha ukaenda Burundi kusherehekea tena mwaka mpya,
Hakuna maajabu yeyote hapo.
 
Mifumo ya uchakataji wa Air Tickets huwa inakokotoa mahesabu yote haya ya muda wa Safari.
 
Hakuna maajabu, wamevuka time zones kwa kurudi nyuma, kama vile ambavyo upande wa mashariki huanza kuona jua, hata kwa muda ni hivyo hivyo, unaweza ukaondoka DAR asubuhi, na ukafika Marekani asubuhi tena..
 
Umeeleza vizuri na umetoa mfano mzuri kabisa (vivid example), Hawa nao waseme wanakutana na maajabu wakati ni jografia ya kawaida upande wa tofauti ya masaa.

Walipaswa kusema abiria wamepata nafasi ya kuupokea mwaka mara mbili katika inchi mbili tofauti zenye utofauti wa masaa. Sio kuleta habari za maajabu!
 
Hakuna maajabu, wamevuka time zones kwa kurudi nyuma, kama vile ambavyo upande wa mashariki huanza kuona jua, hata kwa muda ni hivyo hivyo, unaweza ukaondoka DAR asubuhi, na ukafika Marekani asubuhi tena..
Yes, absolutely!

Mathalani, Unaweza kuondoka Dsm asubuhi ya tarehe 7 Februari, 2025 na ukawasili Marekani majira ya asubuhi ya tarehe hiyo hiyo 7 Februari, 2025 kwa majira ya nchi hiyo ya Marekani.
 
Sina shida na hilo, na lina maelezo ya kisayansi sio?

Sasa, upekee wa matukio ambayo ni ya ajabu utakuwa narrowed down kufikia kuwa pengine hata yale maajabu ya dunia kupungua au kufutwa kabisa kwasababu ni ya kawaida kisayansi?

Nini ni cha ajabu kwenye;
  • Eclipses?
  • Craters?
  • Bonde la ufa?
  • Vimondo kuangukia duniani?
  • Bahari mbili kutochanganyika?
  • Urefu wa milima?
.
.
.

Unaweza kuwa frequent flyer, ukaona ni sawa tu ndege kupaa na kukaa angani masaa 14, ikiwa na uzito wote ule; reasoning yako ikawa kwakuwa unao uelewa wa nini kinatokea kisayansi, well and good, wengine ikawa ni mara moja kwa maisha halafu ndo ukutane na hiyo scenario, haiwezi kuwa kawaida.

Umeenda mbali sana mzee, Dar na Kigoma, tuko time zone tofauti ile kiuhalisia kabisa, Kigali, Bujumbura, SA etc wako nyuma yetu sio! Kwa wanaoenda kule, wanaweza hata wasione hiyo tofauti kwakuwa ni lisaa tu!

Vipi ukienda nchi za mbali huko, ukaona saa inasema ni 21:00 halafu jua lipo juu, kama jioni tu?
  • Maisha yako yote kabla hujawahi kutoka nje ya TZ pengine.
  • Hutostaajabu kushuhudia jambo kama hilo? Yes, pengine umesikia iko hivyo, ila ndo mara ya kwanza unaona!
  • Ilhali wakazi wa pale kwao ni kama mvua tu za masika!

Mzee, kusheherekea mwaka mpya mara mbili, ni jambo la ku-woooow. Wengi hawajapata shuhudia bado!
 
Hoja yako ni Nini hasa? Because I don't understand you?!!!!
Please, Can you elaborate???
 
Hakuna maajabu ni Geography na mambo kupishana masaa....ni trip nzuri sana kuwemo kwa enjoy na history.....next year we plan mama saa 100 awemo humooo...@ Lucas apige domo kaya lake....
 
Mi siamini...


...Ni Hayo Tu!!
 
Sijuhi hiyo siku inayoitwa "kiama" itaanzia wapi, maana ikianzia Sydney hapa nitakuwa nimeishakula vitu vyangu muhimu!
 
Sasa kuna maajabu gani hapo, jau sana πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…