Maajabu ya Grisi (grease) (Hidden World)

Maajabu ya Grisi (grease) (Hidden World)

Ukishayapata hayo mafuta
Basi nenda kanunue pea mpya kabisa ya viatu hata ikiwa ni sendal sawa ila vyema vle vyakufunga kabisaaa..
nenda zile sehemu za mkusanyiko unaokaa ndani.

Mfano
Shuleni kanisani msikitini nk
paka mafuta katika viatu vyako kisha ingia ndani ya hilo jengo

Mkisha maliza taratibu zenu zakila siku hapo kama ibada masomo nk
Mnapotoka nje wewe usitoke nje bakia hapohapo umekaa jisikilizie uone maajabu ya mwaka

Padre akiona hujatoka atakuelewaje?
 
Sitaki kudanganywa na pia sipendi watu wadanganywe
Sasa kuna mtu amekuita hapa?
au kuna mtu amesema nilazima uamini kinachoongelewa hapa?
Mbona unajipa kazi isiyo kazi ndugu? huu mda uanbishana hapa katika mambo usiyoyaamini wala kuyajua ulitosha sana kuutumia kwenye mambo yako ya msingi
 
Sina mambo mengine ya msingi zaidi ya kufuatilia nyuzi km zako,kisha kuupinga uongo hadharani.
 
Duh !!
hapana kwakeli nisije muona my husband buree😅 sipendi sapraizi mimi
 
Back
Top Bottom