Kwa hiyo mkui picha zinazopigwa na NASA kutokea nje ya dunia zinazoonyesha dunia ni duara ni maigizo tu??
Nasa Gani mkuu hawa Wanaoshtumiwa na Vitu Vingi sana Ikiwemo kutumia Area 51 Kufake Moon landing Kwani bado mnawaamini NASA??
Picha za Nasa Zinazo Onyesha Dunia ni Duara Zinaonyesha Ramani, tena kwa bahati mbaya kabisa Ramani ambayo imekuwa Projected Mwaka 1594, Ikiitwa "The Mercator Projection" . Ambayo Imetengenezwa na Gerardus Mercator..
Sasa Unashangaa Gerardus Mercator Mwaka huo kipindi anachora Ramani hakwenda mwezini wala Kwenye jua 😂😂 na wala Hakukuwa na Advance Technology na Alichora Hiyo Ramani tunayotumia Mpaka leo..
Cha Kushangaza Nasa Imeanzishwa
July 29, 1958..
Ila wanatumia Ramani ya
Gerardus mercator ya mwka 1594 ambaye Kipindi anaichora Hakukuwa na Ndege wala Helcopter (Maana ndege imegunduliwa mwaka 1903 na Wright brothers na wakati Huo ikiitwa
Wright Flyer, Na bila kusahau Rocket ya Kwanza Imezinduliwa Mwaka 1926 na Robert H. Goddard...)
Wakati wakianza Kuwadanganya wapeni Facts..
Msiogope..
Sasa Nataka Uniambie Kati ya Mzee wa Zamani Gerardus Mercator ambaye alichora ramani akiwa Kwenye Boma lake kwa Kuwaza tu....
Ikumbukwe hata Sattelite ya Kwanza inasadikiwa Kurushwa October 4, 1957, iliyokuwa Ikiitwa Sputnik I
Sasa Hebu niambie huyo Mzee wa Kwanza kuchora Dunia Kwa Umbo la Duara Yeye Alikuwa Amekaa Wapi wakati hakukuwa na vifaa vyovyote vya Kuthibitisha Madai yake
Na NASA ambao Wanatumia Vifaa (Kama wanavyojinasibu) umewahi kuona Ramani nyingine ikiikosoa Ramani ya Mercator Projection hata kwa Longitudinal tu au Latitude?
Tutumie Akili Tulizopewa Sio kila kitu tunadanganywa