Maajabu ya Jiji la Dar, Malori ni mengi Barabarani kuliko Watu

Maajabu ya Jiji la Dar, Malori ni mengi Barabarani kuliko Watu

Kwanini wasieke muda maalum wa malori kupita katikati ya miji? Mfano kuanzia saa tano usiku hadi saa kumi na moja alfajiri, muda huu ndio yangekuwa yanaruhusiwa kupita. Watakaofanya tofauti faini laki tano!! Nchi nyingi zilizoendelea huu ndio utaratibu!!
 
dawa ni kurudi kwenye ule mradi wa awali wa kutenga eneo kubwa nje ya mji litumike kama bandari kavu.

aliyekuja na huo mradi ni jpm, alipokufa na mradi ukafa. hakuna anayejighulisha nao kwa sasa.

vipaombele vya samia ni kuteka, kuua, kuhonga na kuununua urais, mengine hayamuhusu.
 
Kwanini hiyo mizigo kwenye maroli isisafirishwe kwa treni za mizigo
 
si walisema esijiiara ya mizigo ikianza malori yatakua yanaishia huko pwani sijui kunaitwaje kuna bandari kavu aliijenga Jiwe? sasa yanatoka wapi tena? poleni wadanganyika wenzetu.
 
Nilijua hii kero naiona mimi tu,
Malori ni kero sana na mbaya zaidi wanajusahau yanaendeshwa kwa kasi utadhani gari ndogo hasa kilwa road na mandela
 
mwarobaini wa kuondoa foleni dar, ni kurudi kwenye mpangi wa awali wa kutenga eneo kubwa nje ya mji litumike kama bandari kavu.
 
Sio lini ni juzi tu hapa nimekuta roli limeminya bonet ya daladala kinondoni studio na kusababisha jam ya hovyo bila sababu ya msingi

Nyie viongozi 'Mbwa' ile siku najua Kuna ndugu zangu walitoka mle wakiwa wanashukuru kwa kila kinachoshukuliwa huku wanahara kwa kutokuamini bado wanapumu

Sikia iko hivi hakuna mtu anayetumia usafiri wa una akiambatana na roli barabarani Akawa na amani

Hebu kuweni na utu kidogo Mbwa nyie tunajua mmeoza lakini jishikieni kidogo kabla hatujaewapeleka kwenye visima vya volcano bado mda kidogo tu
 
Back
Top Bottom