Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 958
- 831
hasara roho pesa makaratasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana haturudi kijijini....tena hapo kwenye Chai ya saa tano umesahau kuongezea kwa Vipande Viwili vya Mihogo,na kachachandu.
Na kwenye mboga hapo,hayo maharage yanashirikiana kwa karibu sana na Miguu/vichwa na utumbo wa kuku...duh dar kweli life simple,mtu ana hiyari alale kibarazani kweny boksi ilimradi tu aendelee kuishi mjini na asirudi kijijini kbs!hahaahaahaaaa
nitawashia tuu we ngoja uoneKm ni makaratasi basi tumia kuwashia moto....
ndio nakuambia sasaFix hizo kaka[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Muhindi unawekewa chumvi,pilipili,ndimu na tomato sauce vingine simevisahau hata majinaFafanua.....
kiukweli Dar patamu na kuna raha zake.Uswaz is better than Uzunguni...sometym !!!!