Maajabu ya Joto City!

Maajabu ya Joto City!

tena hapo kwenye Chai ya saa tano umesahau kuongezea kwa Vipande Viwili vya Mihogo,na kachachandu.
 
Na kwenye mboga hapo,hayo maharage yanashirikiana kwa karibu sana na Miguu/vichwa na utumbo wa kuku...duh dar kweli life simple,mtu ana hiyari alale kibarazani kweny boksi ilimradi tu aendelee kuishi mjini na asirudi kijijini kbs!hahaahaahaaaa
 
Ndio maana haturudi kijijini....
[emoji3] [emoji3] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Na kwenye mboga hapo,hayo maharage yanashirikiana kwa karibu sana na Miguu/vichwa na utumbo wa kuku...duh dar kweli life simple,mtu ana hiyari alale kibarazani kweny boksi ilimradi tu aendelee kuishi mjini na asirudi kijijini kbs!hahaahaahaaaa
 
Aseee.....ndiyo mnaishi hivyo?Nilikuwa nadunduliza nauli nije kuona "ma-ikarus"(sjui bado yapo?)....nimeahirisha.
 
Back
Top Bottom